harufu mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kiwanda cha Condom, vikinga Ukimwi+STDs na dawa za kuzuia harufu mbaya kwenye papuchi

    Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni 1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3) 2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/= 3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Afya ya Miguu na Jamii: Kuelewa Vyanzo vya Harufu Mbaya (Bromodosis), Athari zake Kisaikolojia, na Suluhisho la Kudumu la Tiba za Nyumbani

    1. KWANINI MIGUU INANUKA? (SAYANSI NA VYANZO)Miguu yetu ina maelfu ya tezi za jasho (sweat glands) kuliko sehemu nyingine yoyote ya mwili. Jasho lenyewe halina harufu, lakini shida inaanza hapa: Bakteria na Unyevu: Bakteria wa kawaida wanaoishi kwenye ngozi ya miguu hula lile jasho. Katika...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mwongozo Kamili: Chanzo, Kinga, na Tiba ya Harufu Mbaya Sehemu za Siri

    Tatizo la kunuka sehemu za siri husababishwa na mabadiliko ya bakteria wa asili, maambukizi ya fangasi, magonjwa ya zinaa, au ukosefu wa usafi sahihi, na linaathiri jinsia zote mbili. Ingawa umma unadhani ni tatizo la wanawake pekee, wanaume pia hupata changamoto hii kutokana na muundo wa miili...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna harufu mbaya na kali katika Soko / Machinjio ya Kuku Shekilango (Dar es Salaam)

    Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango. Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa kudhibiti hali hii? Afya za walaji wanaoenda kununua na kuchinjiwa kitoweo cha kuku ikoje? HAPO...
  5. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Tatizo la harufu mbaya kwa wenza. Nani wa kulaumiwa?

    Wakuu kumekuwa na malalamiko mengi kati ya jinsia me na ke kwa kila jinsia kuishutumu jinsia nyingine kutochukua hatua za kutosha kwenye suala la usafi hali inayosababisha harufu kali/mbaya wakati wa tendo na ivyo kusababisha mahusiano yaishie ICU. Nani wa alaumiwe kwa haya na nini kifanyike...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nasikia harufu mbaya sana ya udini IPO siku bomu litalipuka

  7. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

    Tajiri huwa haongei sana. inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
  8. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Harufu Mbaya Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

    Ukiachalia mbali wanawake, tatizo la harufu mbaya sehemu za siri ni changamoto inayowasumbua wanaume wengi pia duniani. Harufu mbaya kwenye sehemu za siri kwa mwanaume inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali. Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia sababu kadhaa zinazochangia harufu...
  9. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya

    Kutoa Harufu Mbaya Ukeni: Uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa harufu mbaya kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi wa candida albicans, japo sio kila mara ndio maana kuna umuhimu wa kutafuta chanzo cha tatizo la...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kujua kinywa chako kinatoa harufu mbaya au hakitoi licha ya kwamba ulipiga mswaki vizuri?

    Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa. Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa kwa muda huu harufu ya kinywa inaweza kua mbaya na nzito na ikawa kero kwa wengine?🐒 Mungu Ibariki...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Mifereji ya Stendi ya Kawe inatoa harufu mbaya sana, kiafya ni hatari

    Mifereji ya Kawe stendi inatoa harufu mbaya sana, na ukizingatia kuna biashara zinafanyika zikiwemo biashara ya kuuza chakula. Harufu inayosambaa katika eneo hilo ni takribani siku 5 sasa, na inavyoonekana ni mifereji ya kupitishia maji imejaa uchafu na kusabisha kutokea kwa harufu hiyo...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Harufu mbaya ya miguu ilivyonikosesha Tunda

    Wakuu habari. Harakati za pimbi(kutafuta ridhiki) nimejikuta nafanya kibarua(casual) kwenye processing plant ya dhahabu. Ambako mda wote tunashinda tumevaa gambuti na baada ya kazi tunaenda kuoga chapu ndani ya dk 5 inatakiwa uwe ushamaliza kuoga uko kwenye usafiri unarudi nyumbani. Kwa kadhia...
  13. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Maji Mbeya zibueni chemba za maji taka zilizoziba, zinasababisha kero kubwa

    Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya. Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka. Mwanzo ilikuwa chemba ya pale Sabasaba karibu na ofisi za CCM, ilikuwa ikivujisha maji taka kwa muda mrefu sana...
Back
Top Bottom