haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hamtatumia tena vijana wetu askari kufanya amri zenu haramu

    Polisi wamechoka kuwavumilia nye mazombi. Wamelalamika chinichini imetosha. Nye nye wachukiwe wao na ndugu za kisa matumbo yenyu hehee. Hamtawatumikisha tena walahi. Wanaenda kujikomboa. Mwawapiganisha na raia Nye mwachekelea kwe mavinane hee. Mwawalipa bei ngani mpaka wawaue ndugu zao. Mayi...
  2. JamiiForums Tanzania Dubai imejengwa kwa pesa haramu zote za dunia

    Mnaweza kubisha ila Airport ni geresha kusema ndio imejenga jangwa. Mafuta nakataa kabisa maana yaligundulika siku nyingi kabla ya dubai. Matapeli,human trafficking,pesa chafy,udukuzi na kila jambo unalofahamu dili zote ni dubai. Hush pup yule mnaijelia alikuwa anaishi dubai. Utakatishaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza limewakamata wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi, waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari Mawili tofauti ya abiria Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, Novemba 23 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad...
  5. JamiiForums Tanzania Sisi waislamu hatuwatambui hao masheikh wahuni walioungana na haramu

    Nye Nye wala msibabaishwe na masheikh ubwabwa hao. Twawajua na uroho na ulafi wao. Wakikusemeni nyamazeni. Wala hatukuwatuma. Uislamu hautaki haramu. Siye tupo kuipigania khaki hadi dahari. Inshallah mwenyezi Mungu atatupa kheri kwenye hili. Nye mwaona madevu mwaita sheikhe au mwaona kilemba...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahamiaji haramu waliohodhi madaraka wahusika kudhamini mauaji kulinda maslahi yao

    Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao. Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na wahamiaji haramu. Polisi wa ngazi ya chini hawana ujanja tena zaidi ya kulinda wanamtandao. Polisi na...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, waziri mkuu anajikomba kujifanya anatembelea hospitali kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi

    je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi. Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi imeshagawanyika hii. Hayupo na hata kuwepo mtu atakaye kuwa na ubavu wakuingia mitaani kwa watu ambao...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

    Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ninampongeza sana Godbless Lema kwa kuweka maslahi ya familia yake mbele na kuyakwepa maandamano haramu kijanja.

    "Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama". Hii ni kauli ya kijanja na kuweka kwanza maslahi ya familia...
  11. JamiiForums Tanzania TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

    SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria kwa jamii ya wakazi wanaoishi jirani na hifadhi ya taifa kisiwa cha Rubondo. Mradi huo ni sehemu ya makundi matatu ya miradi ambayo inahusisha...
  12. JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Lissu: Nani alisema kuingia barabarani ni haramu?

    Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa msaada kwa waandamanaji kwa kuwapa ulinzi na kuhakikisha usalama wao. Shida inapokuja kwa viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  14. JamiiForums Tanzania Litakuwa jambo jema tukijulishwa ni ushirikiano gani wanaoutaka Serikali kutoka ofisi za Jamii Forum na kweli uvamizi haramu haukufanyika.

    Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa. Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

    Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4) Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya kusalimisha silaha haramu ni kila mwaka?

    Wakati Jeshi la Polisi nchini likitangaza msamaha wa miezi mwili wa kutoshtakiwa kwa watu wote wanaomiliki silaha kinyume, imebainika kuwa misamaha hiyo imekuwa ikitolewa mara kwa mara kiasi cha kuibua hoja ya usalama wa wananchi ikiwa watu hao wanajimilikisha silaha na baadaye kupata misamaha...
  17. JamiiForums Tanzania Kama anayosema Polepole ni Kweli, inamaanisha tunaongozwa na serikali yenye wahalifu na haramu

    Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Chaumma na ACT , na baadhi ya vyama vile 11 watapewa viti vya Ubunge na udiwani kuhalalisha haramu

    Time will tell! Mark this thread!
  19. JamiiForums Tanzania Richard Nzagi: Muhamiaji Haramu akiingilia Uchaguzi Faini Sh Milioni 5 au kifungo cha Miaka mitatu au vyote

    Mlishawahi baini wahamiaji haramu wakitaka kujihusisha na uchaguzi au amsuala ya kiasisa kiujumla mnafanyaje kwenye hili?? Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi, akifanya mahojiano na Kituo cha Shamba FM Radio anajibu... Pia soma ~ Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi...
  20. JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…