haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka pesa ipo akaunti ya mahakama

    Wadau wa Sheria,Iko hivi Mimi kama msimamizi wa mirathi,nilifatilia mpaka Hela zikawa zimetumwa kwenye akaunti ya mahakama, warithi wakajaza zile form za mgao,tukambiwa tusuburi Hela zitaingia kwenye hizo akaunti za warithi Swali? Je inachukua muda gani mpaka mahakama kuingiza hizo pesa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nauliza tu kipi kilitakiwa Kitangulie kuwa Imara Kwanza kati ya Umeme wa uhakika katika Mfumo au Jongoo aanze 'Matembezi Kasi' tupate Sifa za haraka?

    Mkuu Mtani wangu Mwerevu Arovera nitafurahi sana kama ukija na kuanza kutoa Muongozo wako wa Kimaoni hapa.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serikali chukueni hatua za dharura na haraka dhidi ya Kiboko ya Wachawi kinachoendelea hapa buza mtalaumiwa

    Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti? Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya) Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Nape jiuzulu haraka, unatishia amani ya taifa letu

    Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo. Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani? Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli. Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine...
  6. JamiiForums Tanzania Watanganyika fanyeni utafiti watu wanaosema Mitano Tena! Wapuuzeni haraka 2030 mtalia na kusaga meno

    Wanapiga kelele na kusema mitano Tena Hawa hapa. Wapuuzeni na mwaepuke kama ukoma.
  7. JamiiForums Tanzania Nahisi ni baya mno na ndiyo maana Kakataa au Kakataa kwakuwa liko Vijijini kwa Washamba, ila lingekuwa liko Mjini angekubali haraka sana

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa daraja kuitwa jina lake, akisema ni vema liitwe Mama Maria, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya kazi ya kupigania uhuru wa Tanzania. Awali, mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege (CCM) alimuomba Rais Samia akubali daraja...
  8. JamiiForums Tanzania Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

    Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda Britanicca
  9. JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Utaalam wa kuandika 'Dissertation'

    Naomba msaada kwa mtu anayehusika na Utaalam wa Uandishi wa Dissertation.
  11. JamiiForums Tanzania Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  12. JamiiForums Tanzania Tunachelewa nini kumalizana na huyu Elie Mpanzu ili asaini haraka Simba SC? Naomba ndani ya Siku Tatu zijazo muwe mmeshamalizana nae tafadhali

    GENTAMYCINE niliposema wenye Simba SC yetu sasa tumerudi Kundini na Kazini nilikuwa ninamaanisha. Kudadadeki.
  13. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  14. JamiiForums Tanzania Bado siku 26 tupate Mshahara wa mwezi july,maana mashahara WA June umeenda haraka sio Poa na kitaa Hali si hali

    Wakuu Mbona Mshahara wa mwezi June umeenda haraka hivi? Mpaka Sasa balance inasoma zero Wakuu na kitaa kigumu Sana na majukumu yamenizidia sijui nifanyeje sijui hapa kama Kuna mdau Wowote anaweza kunikopesha halafu zile tarehe zetu zikifika tutamalizana tu Wakuu Nakuambia mshahara ulipoingia...
  15. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanawake wanaofanya Ngono mara Tano ( 5 ) kwa Wiki hawazeeki haraka kuliko wale wanaoibania 'Mbunye' na kuitoa kwa Uchoyo na Masharti

    Nendeni huko TimesFmTz ( katika Mtandao wao ) ili mkajiridhishe Wenyewe. Ukipinga basi uje na Tafiti yako nawe Ok? ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kinafanya mtu anabadilika mwili na sura haraka..?

    Wanabodi imekuwa ni jambo la kawaida kupotezana na mtu kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapo kutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano wa sura na mwili kwa ujumla. Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo...
  19. JamiiForums Tanzania Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

    Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani. Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli? Huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…