hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma. Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo. Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
  2. JamiiForums Tanzania Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere. Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
  3. JamiiForums Tanzania Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel. -Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
  4. JamiiForums Tanzania Nitaandaa muswada wa kisheria kila kiongozi mwanasiasa alipwe kutokana na Hali ya maisha ya mwananchi wa wa kawaida yalivyo!

    Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako. 1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa itakua hivyo hivyo!yaani mtu hatoingia siasani kutajirika kama ilivyo Sasa Hilo msahau,ukitaka utajiri...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu, hali ni ngumu

    Kwa heshima kubwa na taadhima nawasalimu katika hali zote Mimi ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni ya kidato cha sita, niko Dar es salaamn. Nilisoma chuo kikuu, sikufanikiwa kumaliza kwa sababu ya changamoto za kiuchumi. Ninaomba kazi ili nipate japo pesa ya kula na ya mahali pa kuishi kwani...
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  7. JamiiForums Tanzania Kama hali ya hewa itaendelea hivi, itakua ni neema kwa wakulima wakati wa mavuno

    katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu nchini.. karibu jumuaya nzima ya Africa inafahamu, Malawi wana uhaba wa chakula, Burindi na Sudani Kusini...
  8. JamiiForums Tanzania Mlioko mikoani msiongopewe hili ndio Jiji hali la Da’s laam

    Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na kuipost kwenye page zao.😀
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume jikaze, acha kulegea, mtoto wa kiume halii! Tusipobadilika tutawapoteza!

    Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
  10. JamiiForums Tanzania Leo nimepekuapekua Video Clips za Hayati Magufuli nikakutana na ile ya Yule Mkaguzi wa Gereza la Butimba aliyechafua Hali ya Hewa

    Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji. Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

    UFAFANUZI KUHUSU HALI YA AJIRA ZA WATUMISHI KAΤΙΚΑ BANDARI YA DAR ES SALAAM Ijumaa 22 Machi, 2024 DAR ES SALAAM Jumatano tarehe 20 Machi, 2024 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ilitoa taarifa kwa Watumishi wake kuhusiana na mabadiliko ya uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, Gati...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani (Tegeta A)

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  13. JamiiForums Tanzania Umekutana na hali kama hii kwenye usafiri wa umma, utampisha nani?

    Kwako mdau, vuta picha upo kwenye usafiri wa umma na hali ndiyo hiyo. Je, utampisha nani?
  14. JamiiForums Tanzania Naweza vipi kukabiliana na hali ya kujisikia hatia (guilty conscience)?

    Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on... Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
  15. JamiiForums Tanzania Hali halisi ya ajira ya Ualimu Tanzania

    KUMBUKUMBU Ni heri kukumbuka kwa kuwa tunao ubongo, mwezi march 2013 ndipo ilianza safari, ni safari ya Abunuasi ya kusubir kustaafu! Naacha ndugu zangu, na mali zao za thamaniiii, mashamba na vinyungu nikiwa ni mwenye nguvu. Siendi tena site kwenye kazi zangu za ujenzi kwa Santona naachana na...
  16. JamiiForums Tanzania Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote; Hamna hela Hamna viewer Hamna comment Hamna faida yeyote Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker. Naambulia kulipia tu domain
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kuna haja ya kukaribia ballot box kweli 2025?

    Ni taarifa za kushangaza, za kutisha, za kukera na kuogofya sana. Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote, za chini, za kati na za juu. Wote wanakubaliana katika jambo moja: wananchi hawasaidiki, kwa hiyo waachwe kama walivyo, wasijaliwe na watawala "wafanye yao." Hali ilivyo sasa ni kwamba...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani umeanza, mahali ulipo sukari imeshuka bei? Hali ikoje kwa bidhaa nyingine?

    Wakuu kwema? Waziri Bashe aliahidi sukari ingeshuka bei mfungo wa Ramadhani ukianza. Mfungo umeanza, bei ya sukari imeshuka mahali ulipo? Bidhaa nyingine vipi, kuanzia maharange, mchele, sembe, mihogo, magimbi, nk?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

    Rushwa ya Ngono inahusisha Dhuluma na Unyanyasaji, na inakiuka Haki za Binadamu na Heshima ya Watu. Aina hii ya Rushwa hutumia nguvu ya Kisaikolojia kumshawishi Mtu kutoa Mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Matokeo mazuri Chuoni, Unafuu wa Kazi, Kupanda Cheo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu utabiri wa hali ya hewa

    Naomba nielemishwe kuhusu utabiri unaotolewa na Watalaam. Anaposema kuwa eneo fulani watapata mvua ya WASTANI na juu ya WASTANI ana maana gani?.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…