hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii ni hadithi ya Neema na Daudi, wawili waliokutana katika hali zisizotarajiwa na wakapitia changamoto nyingi katika safari yao ya mapenzi.

    Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
  2. B

    Makonda: Naijua hali anayopitia Tundu Lissu, sio hali nzuri kabisa

    “Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi...
  3. Shuhuda aliyeshiriki kuokoa watu Kariakoo asema "Kule chini hali ni mbaya, nimeshuhudia Watu wamefukiwa na vifusi"

    Nassor Athuman akizungumza kile alichokishuhudia baada ya kutoka eneo ambalo jengo limeanguka Kariakoo, Dar es Salaam. Nassor amesema ameshuhudia watu 10 hadi 15 akiwa chini bila ya kuweza kuwasaidia kutokana na hali jinsi ilivyokuwa. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila anasema...
  4. Kuna utaratibu wa kufanya ukaguzi wa hali ya majengo marefu, walau kwa kila mwaka?

    Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
  5. Hivi hii ni hali ya kawaida? Miaka 27 sasa nakojoa kitandani

    Sasa iliyonitokea leo nahisi kuna shida mahali wakuu miaka 27 nakojoa kitandani daah tena ya leo kali nimeshituka usingizi daaah kujitazama kwenye godoro mkojo umetapakaa kwenye godoro na kwenye boxer kote kuna mikojo nikakaa kitandani na kuwaza kwanini hivi? Na why Mimi 😬😬😬 Wakuu mnisaidie...
  6. Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

    Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
  7. Q

    Najuta naombeni ushauri wenu, msinihukumu hali ni mbaya

    Habari za jumapili Nina tatizo nimekaa nalo mda mrefu saana..ila kwa sasa nataka niache nioe niwe na familia naombeni msada wenu. Mimi nina umri wa miaka 33 mwaka 2003 kulikua na House girl wetu alikua amenizidi kidogo tuu umri sasa tukawa tunafanya michezo ya kikubwa alikua anakuja anavua...
  8. U

    Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  9. Mpenzi wangu anapiga simu kila saa hali anajua nina familia nifanyaje?

    Wahuniiiiiii Nimewaita mje Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku Baba anataka msaada afanyaje?
  10. Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Kumetokea nini kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nini?
  11. Wazee wa mwaka 2070 hali itakavyokuwa pindi watakapo kuwa wanasimulia wajukuu zao enzi za ujana wao

    😆 Just imagine sasa hivi umri ulionao mwaka 2070 utakuwa na miaka mingapi? Kizazi cha 1990 mpaka 1999 ndio watakuwa wazee wa busara 😀 HALI ITAKAVYOKUWA Enzi zetu kulikuwa na msanii anaitwa Meja kunta na Man fongo wakali wa singeli nyinyi watoto wadogo hamjui kitu Enzi zetu Raisi wa Yanga...
  12. Ni hali gani ulikutana nayo ukakubali kwamba kuna watu wana roho mbaya extra?

    Tupe ushuhuda wako
  13. Shambulizi la Israel kwa Iran ni shambulio lililofanywa kwa nidhamu ya hali ya juu sana”it was a clear demonstration of capability, intent and will.”

    kwa kile tunachosema on the Israeli air raids into Iran day before yesterday. This was more than a precision strike, it was a clear demonstration of capability, intent and will. Hii ilikuwa zaidi ya historia ilofanyika kwa usahihi, ilikuwa onyesho wazi la uwezo, nia na mapenzi ya nchi yao...
  14. Hali ya kutokewa na mizimu inadhihirisha wazi kuwa kuna maisha baada ya kifo

    Let say somebody you know interiorly has fallen into the bad land (Being burried), baada ya mazishi na maziko, huna hili wala lile umechil, hujavuta bangi, hujanywa pombe, huna stress za ziada ukitoa maziko, unashangaa mwanga huoooo, unaskia sauti "Shiuuuuu", kuangaza kwa umakini huyoooooo...
  15. G

    Kundi kubwa la watanzania wanao ishi maisha standard ya uhakika ni waajiriwa, wafanyabiashara wengi hali ni mbaya

    N:B: Waajiriwa wa serikalini Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
  16. G

    Kusota kwenye maisha haimaanishi kuwa baadae utatoboa, unaweza kudumu na hali hio au iwe mbaya zaidi, si kila msoto una nuru.

    hii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k. dunia ni katili sana Si kila hali ngumu huwa inapita wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira na wanachokiweza zaidi ni kazi walizosomea wapo watu wame haso sana kwenye biashara lakini hakuna...
  17. R

    Unapokutana na hali ya usaliti (Snitch) Ughaibuni ufanye nini?

    Habari za masiku tena, mwana JF. Mara nyingi, tuwapo hapa Tanzania, tunaamini wengi wetu waliopo nchi zilizoendelea, i.e. Europe au U.S.A., wameshaagana na matatizo; kazi yao ni kuokota tu vibunda. Sasa, ninaye rafiki yangu ambaye alipata nafasi ya kwenda U.S.A. kimasomo. Akiwa huko, amekutana...
  18. Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

    Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena. Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo. Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda...
  19. KERO Hali ya Vyoo vya Hifadhi ya Olduvai inatia kinyaa! Hizi fedha wanazotozwa Watalii zinafanya kazi gani?

    Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
  20. Tunauza Ringlight Original Na Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu

    Boresha Video na Picha zako kwa kutumia Ringlight zenye Ubora wa hali ya juu. Zinafaa kwa wafanyabiashara na watu binafsi. 1. Saluni za kike 2. Saluni za kiume 3. Watu wa urembo na makeup 4. Wafanyabiashara mtandaoni 6. Watengeneza maudhui mtandaoni (Content Creators) 7. Watu wa YouTube 8...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…