haki za wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Wafanyakazi: Ngao au Tishio?

    Vyama vya wafanyakazi na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) viliundwa kama ngao ya kulinda, kutetea, na kuwasilisha sauti ya mfanyakazi. Mfumo huu unapokengeuka na kupoteza maono yake ya msingi, chombo kilichoundwa kumkomboa mfanyakazi kinageuka kuwa tishio kwa maslahi na haki zake...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha Wakata tiketi wa Mwendokasi: Kuna unyonyaji na ukiukwaji wa haki za Wafanyakazi

    Leo tunaamua kuvunja ukimya. Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila siku tunahudumia maelfu ya abiria na kuhakikisha huduma ya tiketi inaendelea bila hitilafu. Hata...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Bila Mkataba: Haki za Wafanyakazi wa Kampuni ya Temboking yupo gizani

    Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii inanifanya nisiwe na uhakika wa kazi, maana mwajiri anaweza kunisimamisha kazi muda wowote bila...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini. Rais Samia amebainisha hayo Jumatano Mei 6...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuondoa kabisa mijadala ya Haki za wafanyakazi. MEI MOSI CCM wakaamua tu kuja na Lissu Mahakamani

    CCM inauwezo sana wa kufanya propaganda. Baada ya kumsimika Mbowe CHADEMA sasa wametuletea Heche. Kwa kuongea tu ni kama helo. Kwa kipindi ambacho CHADEMA ilikuwa na nafasi ya kuunganisha wafanyakazi wa sekta ya umma na bimafsi kutetea maslahi na kuunganisha wafanyakazi. Ccm wakampeleka Lissu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Watumishi wa Bugando: Changamoto, Unyanyasaji na Ukiukwaji wa Haki za Wafanyakazi

    Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu. 1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda Moja ya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi wa St Marys Secondary Mbezi hawana mikataba ya kazi

    Habari JamiiForums, nimekuwa mdau wa muda mrefu lakini pia nimekuwa napata malalamiko mengi sana kutoka kwa rafiki yangu mmoja hivi naomba langu lisitajwe. Watumishi wa shule ya St Marys Secondary Mbezi wanaishi katika mazingira Magumu sana, watumishi hao wote hawana mikataba ya kazi. Huyu mtu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nitawezaje kulipwa mishahara yangu iliyozuiliwa?

    Najua humu ndani naweza kupata msaada wa namna ya kudai mishahara yangu iliyozuiliwa kwa muda wa miezi nane huku nikiendelea na kazi. Mshahara wangu ulizuiliwa baada ya kutokuwepo kazini kutokana na kuugua wakati wa likizo. Baada ya kupona, nilirejea kazini na kuwasilisha ushahidi wa kidaktari...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ndani waundiwe taasisi ndani ya Ustawi wa Jamii kupunguza unyanyasaji

    1. House girl awe na siku moja kila wiki ya kupumzika masaa 24 - Ndani ya nyumba nyingi house girls kageuka roboti anaefanya kazi kila siku alfajiri mpaka usiku. 2. House girl ahusishwe kwenye shughuli za kujumuika kifamilia - Kuanzia Kula pamoja, kutoka out, kwenda kanisani/ msikitini...
  11. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GGM security na ukiukaji wa haki za wafanyakazi

    Habari wana forum, kumekuwa na complain nyingi sana namna security wa mgodi wa Geita GGM wanavyokiuka haki za msingi za wafanyakazi. Security wamepewa mamlaka makubwa mno na maamuzi yasiyochunguzwa wala kuulizwa na mamlaka nyingine. Imefikia wakati security anaweza kumkataa mfanyakazi na...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuzingatia haki za wafanyakazi ni hatua ya msingi kwa maendeleo na ustawi wa Afrika

    Kuzingatia haki za wafanyakazi ni muhimu sana katika kuhakikisha ustawi na ufanisi katika maeneo ya kazi. Haki za wafanyakazi zinahusisha masuala kama vile haki ya kufanya kazi katika mazingira salama na yenye afya, malipo ya haki na stahiki, saa za kazi zinazoheshimu afya na maisha ya...
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa Haki za Wafanyakazi ni Changamoto Inayogusa Moyo wa Jamii Zetu

    Kila jamii inategemea nguvu ya wafanyakazi katika kusukuma gurudumu la maendeleo. Wafanyakazi ni kiungo muhimu cha uzalishaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi zote duniani. Haki za wafanyakazi ni msingi wa mazingira bora na ya haki katika sehemu za ajira. Kila mfanyakazi anapaswa kufurahia...
Back
Top Bottom