haji jumaa

Haji Juma Sereweji (born 5 February 1948) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Mwanakwerekwe constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

    Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa, kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
  2. I

    MNEC Haji Jumaa ambomoa Dkt. Bashiru Ally

    MNEC Haji Jumaa amesema katika kipindi chake cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru, Halmashauri kuu ya CCM haijawahi kukaa kwa lengo la kuielekeza Serikali bali walikaa kupokea maelekezo ya Serikali. Ameongeza kusema Halmashauri Kuu ilikuwa rubber stamp tu ya maagizo ya Serikali. Chanzo: Darmpya...
  3. MIMI BABA YENU

    Kinachomsumbua m-NEC Haji Jumaa si Dkt. Bashiru bali ni ufisadi

    Kiukweli si kawaida sana kwa sisi wanaume wa Pwani ambao tulipelekwa jando na kufunzwa na Mababu zetu kumkuta mtoto wa kiume anaongea sana kama Kasuku. Nimesikitishwa na maneno ya hovyo na tuhuma zisizo tija zilizotolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa (MNEC) Haji Jumaa dhidi ya Katibu...
Back
Top Bottom