GT
Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome.
Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata kidogo. FIFA wanaposema siasa zijitenge na mpira huwa wana maana kubwa sasa.
Sasa uchawa wa kwenye...
Kauli ya Serikali kwamba “goli la mama lipo… safari hii tutavunja rekodi” imeamsha mjadala mzito miongoni mwa wadau wa soka nchini. Wakati fainali za AFCON zikikaribia Desemba 21, 2025, matumaini yanapandishwa juu kupitia kauli tamu, zawadi nono na misafara ya wajumbe. Lakini swali la msingi...
Jamani naelewa vyombo vya habari vinamuogopa huyu mama, ila hii ni too much, khaaa 😂😂
===========
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu nne za mpira wa miguu Tanzania kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Afrika.
Timu hizo ni...
Kuna mtu namjua anamdogo wake yupo academy flani hapo morogoro ila ile academy kuna kipindi hata mipira haina inabidi wamuombe mpira mdogo wake jamaa aliyemununulia
Changamoto za academy za mpira Tanzania
Miundo mibovu ya viwanja
Kutokuwa na gym, na indoor training nyakati za mvua
Ufinyu wa...
Wakuu,
Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii na kuacha watanzania wakifa kwenye umasikini wa kutupwa! Kwa namna hii hakuna Rais anayeitwa Samia...
Singida Black Stars wamepiga hatua kubwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda mechi yao ya pili mfululizo kwa kuilaza Rayon Sports ya Rwanda 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Baada ya ushindi huo, Rais Samia Suluhu Hassan aliwazawadia shilingi milioni 10 maarufu...
Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa katika mashindano ya Kimataifa, Azam Fc walipata ushindi wa Goli 2 dhidi ya El Merriekh ya sudan...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa Amezitakia kheri klabu za Tanzania Simba, Yanga pamoja na Singida Black Stars ambazo hii leo zinashiriki katika mashindano ya kimataifa barani Afrika ngazi ya klabu bingwa na shirikisho...
Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso.
Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo
Leo kawaita kuwasuruhisha, mnasema anaingilia soka na mambo yasiyomhusu
Yanayomhusu ni kutoa pesa za goli...
Katika hatua ya fainali mechi mtakayoshinda, goli moja, goli la mama ni shilingi milioni 30” maneno ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitangaza dau jipya ambalo mnyama atajinyakulia katika kila goli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.
Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
Wakuu
Mmesikia majibu ya Semaji la Serikali Msigwa?
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemjibu kuhusu hpla za 'Goli la Mama' kwa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga ambazo hutolewa kama motisha baada ya kufunga goli kwenye michuano ya Kimataifa
Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!
Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa!
Naamini kama siyo...
Walimu, Manesi na Madaktari wanafanya kazi kwenye mazingira magumu lakini huwezi sikia eti Mama ameendaa motisha kwa ajili yao na kukabidhiwa hadharani
Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani kwa taifa letu mpaka mama awape mil 5 kwa kila goli?
Rais wetu amekuwa akimwaga mapesa kwenye mipira, ati anaweka hamasa.
Lakini kimsingi hakuna hamasa yoyote anayoweka zaidi ya hizo timu kufanya siasa na unafiki
Yaani Aziz ki anavuta million 40+ Kwa mwezi, Ateba anavuta million 30+, waanze kugombania million 10 ambayo itagawanywa Kwa wachezaji...
Kipindi niko shule headmaster wetu alukuwa anatoa xawadi kwa wanafunzi watatu bora na watatu wa mwisho.
Hii ilipelekea wale watatu wa mwisho kupambana sana jukwepa zawado ya nchongo kwa muhula unaofata.
Stars wanechoma kule DRC wapewe hela yao ya goli la mama,huyohuyo aliyechpna atachomoa nechi...
Tupo na jamaa zangu kijiweni, tukifanya mazungumzo kuhusu soka. Ghafla mmoja wetu akatokea na kusema, "Unajua, mama anaupiga mwingi sana, hasa kwenye suala la kununua goli moja kwa milioni tano!"
Mwingine alihitaji ufafanuzi, akahoji, "Anaweza kununua magoli kisha anayauzia wapi?" Kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.