ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. JamiiForums Tanzania Kujenga ghorofa la mawe kunaweza kuwa cheap kuliko ghorofa la kawaida?

    Wataalamu wa ujenzi. Kwa maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa kirahisi na cheap, kujenga ghorofa la mawe inaweza kuwa cheap kuliko kujenga ghorofa la kawaida?
  2. JamiiForums Tanzania Moto Mkubwa Wazuka katika Jengo la Ghorofa 67 Dubai Marina

    Moto mkubwa umezuka katika jengo la makazi lenye ghorofa 67 lililopo Dubai Marina, na kuwalazimu wakazi takriban 4,000 kuhama kwa dharura. Moto huo umeweza kudhibitiwa baada ya saa sita za juhudi za kuzima, huku hakuna majeruhi walioripotiwa. Chanzo cha moto bado hakijabainika.
  3. JamiiForums Tanzania Hatupaswi Kushangilia Umeme Unavyosambaa kwa Kasi Vijijini, Nyumba za Nyasi Zinavyopungua Idadi, Kutawanyika Kutafuta Hela

    Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu wanavyohamia mijini kutafuta fedha. Lakini, je, kweli haya ni mafanikio? Au ni dalili za jamii inayokosa...
  4. JamiiForums Tanzania Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa

    Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa Mawe yana umuhimu mkubwa katika ujenzi wa ghorofa, hasa wakati wa kupiga jamvi (slab). Hapa kuna faida zake: ✅ Kuimarisha Msingi – Mawe husaidia kuimarisha msingi wa jengo kwa kuzuia...
  5. JamiiForums Tanzania "HUJUI? Mansion si lazima iwe ghorofa! Angalia hii 5-bedroom masterpiece yenye: 2-car garage Swimming pool unayoifikia moja kwa moja kutok

    SISI TUNAHUSIKA NA : DESIGN ,UJENZI NA UKARABATI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP US +255624004650
  6. JamiiForums Tanzania MNEC Joseph Peneza aozesha binti yake, ampa zawadi ya nyumba ya ghorofa, shamba na milioni 70

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mtwara, Komredi Joseph Mkuyu Peneza, ameandika historia kwa kufanikisha harusi ya binti yake, iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, chama, ndugu, jamaa...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa

    Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa 1. Msingi Imara Zaidi: - Ghorofa huhitaji msingi wenye nguvu zaidi (deep foundation) ili kubeba uzito mkubwa wa jengo. 2. Nguzo na Beams Zaidi: - Vifaa vya kuongeza uimara kama nguzo...
  8. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kuiwezesha Zanzibar kujenga shule 23 za ghorofa

    Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya kusaini mkataba wa mkopo nafuu wa takriban Euro milioni 80 (shilingi bilioni 240)...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu: Shetani anatufundisha kubadili mawe kuwa mkate, Waziri baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa kumi, mabasi 100

    "Tunafundishwa daima na shetani kubadili mawe kuwa mkate, wewe ni waziri katika nchi badili mawe haya kuwa mkate, kweli waziri huyu baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa 10, ana mabasi 100. Na nyie vijana wangu chochote utakachokipata, kama viongozi na hata kama ni waumini shetani yupo nyuma...
  10. JamiiForums Tanzania Waathirika ghorofa lililoporomoka Kariakoo wafungua kesi mahakamani kudai fidia

    Waliokuwa wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale Kibamba: Nyumba ya Vyumba 3 ya Ghorofa 1 Inauzwa - Dar

    • Direction: • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  12. JamiiForums Tanzania KARIBU TANZANIA,KARIBU KIJITONYAMA, NAKULETEA KIWANJA CHENYE JENGO LA GHOROFA KINAUZWA KIJITONYAMA,BEI NI 850M

    Plot for Sale at Kijitonyama located in a very quite and peacefully neighborhood, ■One incomplete building ■Area size 1500sqmt ■Price 850m tsh Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri ya ghorofa kisasa goba half lanod inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa nzuri ya ghorofa underground half landon inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  15. JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa Kariakoo Dar es Salaam bei ni TSh Bilioni 2.5

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  16. JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa,kariakoo daressalaam tanzania,bei ni billion 2.5,maongezi yapo

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  17. JamiiForums Tanzania GHOROFA INAUZWA,IPO CHANIKA BUYUNI,BEI NI MILIONI 220,🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

    GHOROFA linauzwa mahali Ni chanika buyuni Ina Room 3 Moja master Ina jikoo Ina sebule Ina Daininng Ina public toilet Ina stoo Ina chumba Chakufulia Nguo Ina swimming pool Eneo Lina sqmt 694 Hati miliki ya wizara Nyumba inatupwa tu hii Nyumba inauzwa MILIONI 220 MAONGEZI 🇹🇿Call/WhatsApp...
  18. JamiiForums Tanzania Una kaeneo kadogo ghorofa la chumba kimoja hili litakufaa

    Kwa wenye ndoto za kumiliki ghorofa na uchumi hauruhusu chukua ramani hii. Chini chumba kikubwa kina bafu,choo na jiko plus kasebule simple,then juu unakata nusu unaweka zege ndo chumba cha kulala. Hii ufaa hata ukitaka kujenga air bnb au hata nyumba za kupanga ili kusave eneo itafaa zaidi
  19. JamiiForums Tanzania Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

    Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…