ghasia

Hawa Abdulrahman Ghasia (born 10 January 1966) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and a three-term Member of Parliament for Mtwara Rural constituency since 2005. She is the former Minister of State in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Ghasia Oktoba 29 Zililenga Kuvuruga

    📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October 29,2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa kwenye Tume...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Ghasia za Oktoba Zilipangwa, Z

    Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil Mfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali isipoteze rasilimali muda na fedha. Iwakamate wafuatao wataeleza kinagaubaga kuhusu ghasia za 29/10/25

    1. Viongozi wa TEC. Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine. 2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, waziri mkuu anajikomba kujifanya anatembelea hospitali kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi

    je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi. Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi imeshagawanyika hii. Hayupo na hata kuwepo mtu atakaye kuwa na ubavu wakuingia mitaani kwa watu ambao...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano

    Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano yanayopinga utawala wa Samia https://m.youtube.com/watch?v=HtoIA-AVb18
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Msando: Hakuna vurugu wala Ghasia itakayojitokeza siku ya tarehe 29, Oktoba

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Wakili Albert Msando amesema Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imejipanga kuhakikisha amani na utulivu vinatawala katika kipindi chote cha kuelekea uchaguzi mkuu ujao ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Mhe Msando amezungumza hayo kwa niaba ya Mkuu wa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri kwa vijana: Msithubutu kushiriki vitendo vya fujo au maandamano ya ghasia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura. Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Rais Samia Hassan -"SADC inatoa wito kwa pande zote Mozambique kujizuia na kujiepusha na vitendo vinavyozidisha ghasia na machafuko"

    Baada ya uchaguzi Mozambique: SADC inatoa wito wa kujizuia na mazungumzo ya "amani". 02 Januari 2025 Picha ya faili: AIM Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jana ilihimiza kujizuia katika kukabiliana na maandamano ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji, ikitetea mazungumzo "ya amani...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haijatoa rambirambi kwa wanachadema waliowawa ktk ghasia za Uchaguzi Dsm, Singida, na Songwe?

    ..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe? ..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au washindani wao? https://www.youtube.com/watch?v=FI4sAGtsqNY
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda kuna hila kuigeuza Congo mashariki kwa ghasia ili wavune maliasili.

    Ukifikiria sana haya mauaji na utekaji watu usio na jibu na kisha chama kimoja cha siasa kuiandama serikali kama ndio inahusika unaweza kujiuliza maswahi mengi bila kupata majibu. Tunavyojua wale tunaojua nchi za magharibi wameazimia nchi za Afrika lazima wasiweze kuendelea kwa kutumia maliasili...
  14. JamiiForums Tanzania Mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby, ina maana walishajipanga mapema kutupa matokeo ya mchongo Urais TLS?

    Wakuu, Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola. Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo? Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati! Mpaka wamejitayarisha na polisi...
  15. JamiiForums Tanzania Ulipuaji mabomu wakati wa mazoezi ya kijeshi unaofanywa na polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU manispaa ya Musoma udhibitiwe ni hatari kwa afya za w

    Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa kutuliza ghasia waanza kuwashughulikia wanafunzi wanaoandamana kuwatetea Hamas, vyuo navyo vyaanza kuwatimua

    Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel). Maafisa wa polisi wakiwa na vifaa vya kutuliza ghasia (virungu, tasers, bakora) wanaendelea kusafisha kambi zilizowekwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

    Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto. Ni kikosi ambacho si maarufu...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu watano wauawa katika ghasia za mgomo wa taksi Cape Town

    Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza. Maderava wa taksi aliitisha mgomo huo wakidai kuna mbinu nzito zinazofanywa na mamlaka za kuharibu biashara...
  19. JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo kutokana na ghasia za kikabila Sudan imefikia 65

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na ghasia za Kikabila katika Jimbo la Blue Nile Nchini Sudan imefikia watu 65 na wengine 150 wakijeruhiwa tangu kulipozuka machafuko wiki iliyopita. Waziri wa Afya wa Jimbo la Blue Nile, Gamal Nasser al-Sayed amesema vurugu hizo zimetokana na uchochezi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ecuador: Wafungwa zaidi ya 40 wauawa kwenye ghasia

    Takriban wafungwa 43 wameuawa kufuatia ghasia kati ya magenge hasimu ya Los Lobos na R7 kwenye gereza la Santo Domingo. Ecuador inapambana na wimbi la ghasia zinazohusisha magenge ya uhalifu, na hivi karibuni imeshuhudia vurugu mbaya zaidi katika historia Mbali na vifo, Jeshi la Polisi limesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…