geto

The Getae ( JEE-tee, GHEE-tee) or Gets ( JETS, GHETS; Ancient Greek: Γέται, singular Γέτης) were several Thracian tribes that once inhabited the regions to either side of the Lower Danube, in what is today northern Bulgaria and southern Romania. Both the singular form Get and plural Getae may be derived from a Greek exonym: the area was the hinterland of Greek colonies on the Black Sea coast, bringing the Getae into contact with the ancient Greeks from an early date. Although it is believed that the Getae were related to their westward neighbours, the Dacians, several scholars, especially in the Romanian historiography, posit that the Getae and the Dacians were the same people.

View More On Wikipedia.org
  1. Stability

    Jibu la demu wangu baada ya kumwambia nalala kwenye mkeka limenisikitisha

    Nakaambia kademu kangu ka 2005 kuwa nipo geto nimejilaza kwenye mkeka, eti kanasema "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa) ? 🤣🤣 Aisee dunia inabadilika kwa kasi sana
  2. Godoro la kioo

    Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

    Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo Sasa mi nashindwa kuelewa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Hivi kati ya kupika chakula geto na kununua mgahawani kipi kinatumia hela nyingi?

    Kati ya kupika chakula nyumbani na kununua chakula mgahawani, kipi kinatumia gharama kubwa?
  4. Stability

    Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?

    Wakuu! Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?
  5. Koffi Annan

    Pilau la Kibunge Magetoni

    Leo nimeamka asubuhi nikaona nitoe kitu geto kama Mwachiluwi Nilienda dukani kununua mahitaji na mengine yalikuwepo ndani Nikachemsha nyama wakati inaiva nikaandaa viungo kama vinavyoonekana hapo chini Nyama haikua nzuri sana sababu sio fresh ila pilau lazima linoge, Msela geto la jirani...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nilifumaniwa kwenye geto la demu enzi hizo lakini mzee wa nyumba ile akasema nisipigwe na vijana wanisindikize hadi kwetu.

    Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa? Kipindi hicho genye ndo limeshika hatamu yaani huniambii kitu kuhusu mbususu mara kadhaa nilikuwa sili...
  7. Just Pray

    Binti miaka 19 afariki siku yake ya kuzaliwa akiwa geto kwa mpenzi wake

    Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Faith inaripotiwa kuwa aliondoka nyumbani kwa wazazi wake, na katika kundi...
  8. Davidmmarista

    Drop-down picha ya geto lako hapa chini

    Mimi langu hili hapa.😁
  9. fundi bishoo

    Msaada wakuu nachanganyikiwa, nimekuta Mijusi wakubwa geto

    wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ulikuta Nini kwenye Geto la mshikaji wako ukabaki kujiuliza hiki kilifikaje hapa?

    Wakuu Hivi ushawahi enda Kwa ndg,jamaa ama msela wako tu ukakutana na kitu ambacho hukutegemea kabisa na ukabaki kujiuliza kilifika fikaje hapa? Ebu lete kisa chako hapa. Naanza Mimi...... Nilienda Kwa msela wangu sana yaani yule ambaye unamuita boya fala nk na mnabaki mnacheka tu bila...
  11. Abdul Said Naumanga

    Kafia Ghetto

    Kwa wale wapenzi wa Bongo Fleva, mtakumbuka kuwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, staa wa muziki huo wakati huo, Hussein Machozi, alitoa wimbo uliogusa hisia za wengi ambao ndio umebeba Title ya thread hii “KAFIA GETTO.” Wimbo huu ulielezea kisa cha kweli kilichotokea kwa mmoja wa watu wa karibu wa...
  12. Morning_star

    Pisi haijaja geto sijui nifanyeje?

  13. G

    Kapeleka mpenzi geto bahati mbaya mwanamke akafariki. Anatakiwa kufanya nini ili asifungwe?

    Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe. Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo. Kamtafutia misosi kagonga kama kawaida. Saa 2 na madakika wakaingia kwenye uwanja wa 6 kwa 6. Bahati mbaya...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukiambiwa Binti yako yupo geto na msela usiharakishe kuingia

    Wakuu ni uhakika? Ni story huwa inanichekesha hata nikiwa mwenyewe nikikumbuka tu. Ilikuwa mapema ya saa2 usiku tupo kijiweni mimi jamaa 3 tunapiga story kadhaa wa kadhaa Mara jamaa mwingine kaja speed akimtafuta Bw j.Tukamuuliza kulikoni speed hivi mkuu? Akajibu asee namtafuta mr j binti...
  15. TanPromotion

    NAJUMLISHA GETO

    NAJUMLISHA GETO Godoro Dodoma 5×6 inchi 8=200k Kitanda chuma=160k Meza plastiki=30k Feni panga boy=30k mtungi wa gesi=25k Jaba +ndoo 2 =40k Kikapu Cha vyombo plastic=20k Viti plastic=30k JUMLA= 536k. (Reja reja ruksa kununua) OFA. - KODI Hadi October 30/2024✅ -Mto m1✅ LOCATION:Kivule...
  16. Mributz

    kazuria ako apo Cha geto nipe elf 70 tu (imported)

    kazuria ako apo Cha geto nipe elf 70 tu (imported) 0718909429
  17. Jumanne Mwita

    Unafanyaje kuishi maisha ya kigeto geto bila kupika?

    Kwa miaka 4 sasa na mwezi mmoja nimeishi bila kujipikia nikila kwa migahawa nfanya hivi kwa maisha haya ya kutojipikia kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa sehemu moja nikatulia hii ni sababu ya mazingira yangu ya utafutaji nakaa sehemu kwa muda mfupi baadae naenda eneo jingine nikiridishe kwenye...
  18. Technophilic Pool

    Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
Back
Top Bottom