gereza la ukonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Mawakili wa Lissu wamfungulia kesi Kamishna Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga

    Sisi mawakili Maduhu William,, Nashon Nkungu na Paul Kisabo tumefungua shauri la Kikatiba ambalo ni Shauri No. 7300dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Shauri hili limefunguliwa katika mahakama kuu masijala kuu ya Dodoma. Tumefungua...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  3. Mkalukungone Mwamba

    Wakili Mpoki na Mwasipu wamtembelea Tundu Lissu gereza la Ukonga. Afya yake ni nzuri kiasi

    Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya nzuri kiasi kwani kiwango chake cha sukari kwenye damu kimeongezeka kiasi ila Daktari...
  4. The Palm Beach

    Tetesi: Inadaiwa Tundu Lissu ametolewa kinyemela Gereza la Ukonga kukutana na ujumbe wa Rais Samia, akataa masharti yao

    https://youtu.be/r7Q3c52fIOw?si=vKArWlvV0I3OjLJa Huyu mama na watu wake are so pathetic na wana mioyo migumu kama mawe.... Hawataki kuwajibika kwa makosa yao yaliyosababishwa na ujinga na upumbavu wao wenyewe na badala yake wanatafuta mahali na watu wa kuwatwisha gunia la hatia na uovu wao...
  5. The Palm Beach

    Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
  6. Mafyangula

    PostGE2025 CHADEMA: Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu Gereza la Ukonga

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Mhe. Tundu Antipas Lissu katika Gereza la Ukonga. Katika siku za karibuni, viongozi wa Chama akiwemo...
  7. Heparin

    PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu ametuma ujumbe kutoka Gerezani ukonga, akibainisha kuwa hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Aidha, amesema hakuna haki bila amani. Ujumbe huu ameuandika kwa mkono wake mwenyewe.
  8. Dr Akili

    Gereza la Ukonga ni 'Maximum Security Prison'. Tuache upotoshaji. Masharti yake ni tofauti na gereza la kawaida kwa manufaa ya pande zote mbili

    Kila nchi ina magereza yanayoitwa maximum security prisons. Magereza ya aina hiyo yanakuwa na ulinzi mkali na masharti tofauti kwa wanaoshikiliwa (inmates) humo ukilinganisha na kwenye magereza ya kawaida.. Hii ni kwa faida ya wanaoshikiliwa humo wasije wakadhuriwa na maadui wao wa nje...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Brenda Rupia: Taarifa rasmi Tundu Lissu amehamishiwa gereza la Ukonga, Heche anatarajiwa kufika Ukonga leo kwa ajili ya kumwona

    TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI WA CHAMA MHE. TUNDU LISSU YUPO GEREZA LA UKONGA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa mapema leo, tarehe 19 Aprili 2025, viongozi wakuu wa chama wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mheshimiwa Tundu...
  10. Erythrocyte

    Mkuu Gereza la Ukonga ashutumiwa kujiingiza kwenye siasa za CCM, adaiwa kusaka cheo kikubwa zaidi kupitia mgongo wa CHADEMA

    Waliokuwa Wagombea ubunge wa Chadema kwenye ule uchaguzi hewa wa 2020 , wamefunguka leo chanzo cha wao kuzuiwa kuingia ndani ya gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, katika siku halali na muda muafaka wa kuona Mahabusu. Wamefunguka yote haya katika Mkutano wao na Waandishi wa...
  11. J

    Kesho tarehe 22 Agosti, 2021 tutamtembelea Mbowe na wengine wanaoshikiliwa Gereza la Ukonga na tutasali pamoja

    Bwana Yesu apewe sifa! Itakuwa ni safari ya kitume ambapo wagonjwa na wenye shida mbalimbali waliopo gerezani tutawaombea. Kwa pamoja tutamwomba Mungu awape wepesi katika mitihani wanayoipitia kwa sasa. Hili ni agizo la Yesu kwamba tukiyatenda haya kwa waliopo majaribuni basi twamtendea Yesu...
  12. Chee4

    Anaandika Humprey Polepole kuhusu Salamu alizotuma Mbowe kutoka Gereza la Ukonga

    Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija...
  13. mugah di matheo

    Zitto na Mbatia wamtembelea Mbowe katika Gereza la Ukonga

    Kiongozi wa Act -Wazalendo na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi ndugu Mbatia wamemtembelea Mbowe na kumtia moyo juu ya mapambano ya demokrasia. Walimtembelea katika Gereza la Ukonga na Mhe. Zitto akachukua nafasi hiyo kumpa zawadi ya chakula cha ubongo Chanzo Act -Wazalendo
Back
Top Bottom