genius

A genius is a person who displays exceptional intellectual ability, creative productivity, universality in genres, or originality, typically to a degree that is associated with the achievement of new discoveries or advances in a domain of knowledge. Geniuses may be polymaths who excel across many diverse subjects or may show high achievements in only a single kind of activity.There is no scientifically precise definition of a genius. Sometimes genius is associated with talent, but several authors such as Cesare Lombroso and Arthur Schopenhauer systematically distinguish these terms. Walter Isaacson, biographer of many well-known geniuses, explains that although high intelligence may be a prerequisite, the most common trait that actually defines a genius may be the extraordinary ability to apply creativity and imaginative thinking to almost any situation.

View More On Wikipedia.org
  1. Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

    Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa....... 1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma 2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu 3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa 4. Ukiwa Muhuni...
  2. Nje ya Dharau na Nyodo zake za Kiasili, ila Kocha Mourinho ni Bonge la 'Genius' halafu anatupenda na kutujali mno Waafrika

    Jose Mourinho wants FIFA to stop African players from representing other countries other than that of their origin. He believes once this is done, Africa countries would start winning the World Cup. Chanzo: Africa Archives Binafsi huwa ninawapenda Watu wenye Dharau, Nyodo na Jeuri Kiasili, ila...
  3. Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  4. Tusichoshane 'Hotuba' imeshatolewa jana na leo ni Siku tu ya Kuwashangaa 'Makomandoo' wetu na Rais 'Genius' Afrika Paul Kagame

    Mmeshaambiwa jana kuwa mpaka sasa kuna Vyuo Vikuu 30 badala ya Chuo Kikuu Kimoja ( 1 ) tu wakati wa Uhuru. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni Nongwa! Mmeshaambiwa jana kuwa sasa tuna Balozi 44 na baadae akasema tuna Balozi nchi zote duniani. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni...
  5. T

    Tusipochagua genius position hizi hili taifa siku moja litakuwa taifa la manamba

    Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili. Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na nguvu duniani limewekwa kwenye misingi ya watu wenye akili na sio watu wenye akili kidogo. Wengi...
  6. M

    Mkitaka Jenerali Ulimwengu anyamaze na awe anawapigieni Makofi ya Heko mkiwa Magogoni na Chamwino fanyeni haya...

    1. Msiwe Mazuzu ( Majuha ) 2. Acheni Vitisho na Ubabe 3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola 4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi 5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo 6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu 7. Jibiidisheni sana Kusoma...
  7. Kwa genius Tu: namba ipi inayofata?

    Wale Ambao mlikuwa hamkeshi Na Mbu darasani, miguu ikiwa kwenye beseni la maji kama Sisi ila mnaongoza ikija mitihani. Twende kazi 1,2,4,8,16,31,?
  8. Akadi, genius aliyeubadilisha mfumo wa elimu Tanzania

    Katikati ya kipindi ambacho ukosefu wa ajira ulikuwa wimbo uliozoeleka na ulioumiza sana kwa kila aliye kuwa na uwezo wa kuona vijana walivyo kuwa wanazidi kukosa mwelekeo ndani ya Taifa la Tanzania. Hatua ambayo wale wenye moyo wa kuhudumu wengine na walio majasiri pekee ndo wangeweza kusaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…