Kumekuwepo na mjadala mtandaoni baada ya kuonekana gari dogo linalodaiwa kuwa la polisi likiwa bila namba ya usajili maeneo ya Tabata, Dar es Salaam. Hali hii imewaacha baadhi ya wananchi na maswali lukuki, hasa ikizingatiwa kwamba magari yasiyo na plate number mara nyingi huhusishwa na matukio...
Kupitia ripoti ya DW ikimuhoji Mama kwa jina Elizabeth Makule, ameelezea namna mwanae alichukuliwa na gari la Polisi ikiwa baada ya kupigwa risasi mguuni katika vurugu zilizotokea Oktoba 29,
Mama huyo amesema tayari amefika katika vituo mbalimbali vya Polisi na hospitali lakini hajamuona mwanae...
Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani naomba mwenye uelewa
Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma.
Hayo yamebainishwa leo Septemba 21,2025...
Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka kutawanyika na kuacha kuendelea kufanya ibada pembeni ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya...
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa...
Huko Florida nchini Marekani afisa mmoja wa polisi amezua gumzo baada ya kusambaa kwa video yake inayomuonesha akimsimamisha afisa mwingine wa polisi kwa kuendesha gari kwa spidi kali.
Mazungumzo kati yao yalikuwa hivi:
"Nini?" aliuliza afisa huyo baada ya kushuka kutoka kwenye gari la polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.