#onemediaupdates🇹🇿
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika...
Kutoka kuwa kocha mkuu wa Singida Black Stars hadi kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi ambacho ndio cheo kipya cha Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni kocha wa muda wa Taifa Stars.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya Wakurugenzi wa Singida BS, leo Jumatatu, Januari 5, 2025 imetangaza...
Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Miguel Gamondi ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Oktoba 10 kwaajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya fifa dhidi ya Kuwait.
Mchezo huo kati ya Tanzania na Kuwait utachezwa Oktoba 14 katika mji wa Cairo nchini Misri.
I salute you
Wakuu
Kama nakumbuka hapa kati wakati wa kocha Folz pale yanga watu wengi walikuwa wanashauri kuwa Gamondi arudi yanga tu haina haja ya kuzunguka
Lakini shida ya Gamondi ile ile ndio iliwakwamisha yanga kumrudisha..
Tatizo la Gamondi ni hana subira hata kidogo yeye anajali pesa...
Kocha Miguel Gamondi wa Singida Black Stars ametangazwa rasmi anachukua mikoba ya Hemed Seleman aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars.
Soma Pia: Gamondi kocha mpya Singida Black Stars
Miguel Gamondi ataiongoza Taifa Stars kwenye mashindano ya AFCON ya nchini Morocco 🇲🇦 mwezi Disemba.
🚨💣 UPDATES 👇
➡️ Aliyekuwa Kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi 🇦🇷 amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Singida Black Stars 🇹🇿
✅ Gamondi anatarajia kuja Tanzania baada ya wiki mbili tayari kwa kuiandaa Singida kwaajili ya mechi za awali za CAFCC.
Yanga iliyumba kwa hujuma tu.
Hii ndio ndio Yanga na walipaswa kuwa vinara wa kundi.
Tunawaombea wazidi kufanya maajabu, kazi iliyombele Yao sio ya kitoto.
Rais wa klabu ya Raja Club Athletic amekutana mara mbili na kocha mwenye uzoefu wa Argentina, Miguel Ángel Gamondi, ambaye kwa sasa anaonekana kuwa chaguo bora zaidi kwa nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo. Hata hivyo, bado hawajafikia makubaliano rasmi kutokana na baadhi ya masharti ambayo...
Salaam wanajamvi, heri ya siku ya uhuru watanzania wenzangu!!
Kuna hii taarifa nimekutana nayo kwamba Gamondi amesema, "Sasa Mmejua kwamba Sikuwa Tatizo pale Yanga SC, Kama mkiendelea kucheza kama Juzi hamfiki Robo Fainali Msimu Huu" hivi kweli huyu mzee anaweza kusema hivi?
Sikuile tumepigwa 2 na wale wa Sudan, yeye akapost kutuaga na kuonesha kuwa anaikubali sana Yanga.
Leo saa chache kabla ya mchezo kaposti eti anacheza golf ila ukiangalia kwa makini nikama anacheka na ukitumia jicho la kiroho ni kama anamzomea mtu.
Namsihi master Gamond asipost tena mpaka...
Watanzania ni watu ajabu ajabu sana!
Hatuna uvumilivu ,ni watu wa papara, majungu na fitina sana! Kufungwa mechi mbili tu unamfukuza Kocha!
Manara naye mtu wa fitina na Unafiki sana!
Kisa Gamondi asalimiani naye , wamefanya fitina Hadi wakamfukuza.
Mnamfukuza Kocha aliyekwisha Jenga kikosi...
Kuna watu wamekuwa wakijifanya wapenzi wa Gamondi utafikiri walikuwa wanamjua huyo Gamondi kabla ya Hersi kumleta Yanga. Yaani anajifanya kususa timu kisa tu uongozi kuachana na Gamondi na kuwatoa akili viongozi. Hawa watu wamfuate Gamondi huko anakoenda na wawe mashabiki wa hizo timu badala ya...
Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake wawili, Patrick Aussems na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana na matokeo mabaya, huku ikidaiwa kumwania Miguel Gamondi aliyeachana na Yanga hivi karibuni.
Leo asubuhi Singida ilitoka sare ya mabao 2-2 na Tabora United kwenye Uwanja wa...
Team working (kufanyakazi kwa pamoja) hakumaanishi kusogeleana sana kimwili kati ya viongozi na watumishi wake, bali ni kiongozi kufanya na kuwepo pale unapohitajika kuwepo kwa wakati na wale wanaokuhitaji na kufanya Yale unayopaswa kufanya kwenye taasisi kwa wakati.
Viongozi wa Yanga walikuwa...
Uzi usiwe mreeeeefu.
Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.
Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia...
Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu huu hasa baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam FC na Tabora hivi...
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Alexander Ngai amesema maamuzi ya klabu hiyo kuachana na kocha Miguel Gamondi hayajatokana na matokeo ya kupoteza mara mbili mfululizo dhidi ya Azam na Tabora United.
Ngai amesema Kuna sababu nyingi zilizowapelekea kuchukua maamuzi hayo huku akigoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.