Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC.
Soma...
Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi.
Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo;
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi amefungiwa michezo mitatu (3) na...
Wakuu mpo
Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga.
Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi.
Makombe
🏆 1X NBC Premier league
🏆🏆2X FA Cup
🏆 1X Community shield
🏆 1X Toyota Cup
Ushindi wa 5-1 Vs...
Kwa historia ya wababe hawa wawili wa mpira Tanzania yaani Simba na Yanga haijawai kutokea wala kufikirika Kwa Kocha kufukuza na wala ukosefu wa Amani klabuni iwapo Timu ikipoteza mechi na Timu ndogo Kama Tabora United.
Tumezoea songombingo iwapo mmoja kapoteza kwa pacha wake, lakini ili la...
Sead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo.
Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu ya Betway pale Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 -2024.
TS Galaxy inashika mkia katika msimamo wa...
TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi.
Vilevile, Uongozi wa Young Africans Sports Club, umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw.
Uongozi wa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane !
Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa...
Wakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi.
Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee
Hili ndio chanzo cha Anguko...
Kocha Muargentina Miguel Gamond, a.k.a Mzee wa "FOR ME" amesababisha tatizo la kisaikolojia Kwa Mashabiki na Viongozi wa Simba , ambao wao wanaamini mafanikio ya club yao mchawi wao ni Miguel Gamond, Mzee wa For Me.
Miguel Gamond anatengenezewa Zengwe na Simba ili afukuzwe , na tegemeo lao ni...
Wakuu msikie Manara huko!
Anasema katika kipindi cha kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi mwezi Agosti mwaka huu 2024 wakati ameenda kambi ya Timu ya Yanga kuongea na wachezaji na bechi la ufundi ili kuwapa plan ya siku hiyo ya wiki ya mwananchi, lakini siku yake ikaharibiwa na kocha...
Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.
Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo...
Iwapo Young Africa Wana wazo la kumfuta Kazi kocha Wao GAMONDI basi na Wategemee kocha ajae ataja sema Yale Yale ya BENCHIKA kuwa wachezaji hawafundishiki!
Ni kweli amepoteza mechi mbili mfululizo, lkn ni kocha gani aliwahi kuifunga Simba mara nne mfululizo zaidi yake? Wana Yanga tusijichanganye? Hata aibu ya karne ya (1 - 5) katubeba yeye.
Kwa upande wa records muhimu, katuvusha kucheza robo fainali (kibabe kwa kumjibu 4 - 0 muarabu Belouizdad)...
Wengi wanajiuliza kuporomoka ghafla kwa uwezo wa Yanga msimu huu kumetokana na nini.
Kuna mvutano mmoja umekuwa unaendelea kati ya Gamondi na uongozi wa Yanga. Ni kwamba, Yanga imekuwa inamlazimisha Gamondi kuzipa mbinu na maelekezo timu pinzani zinazocheza na Simba na Gamondi amekuwa...
Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea.
Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
KUHUSU GAMONDI
Nilidhani baada ya mechi huyu mtu hakupaswa hata kukanyaga Avic town,lakini Kwa mshangao nimeshangaa hadi muda huu yupo tu anadunda kama kitenesi!
Viongozi wa Yanga mnatukosea sana mashabiki na wanachama hadi muda huu!,niwaulize nyie viongozi,Je,huyo Gamondi ni mwanahisa hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.