gaming

  1. Computer4Sale Nauza Acer Gaming PC

    Acer gaming pc Still iko good condition,(🚨πŸ”₯ (POWERFUL PC) Price 1.2M Bei yakutupa kazi kwenu gamer and editors,code Details πŸ‘‡πŸΏ Core i5,2.5ghz 7300hq 7th gen ram16gb ddr4 storage 750gb 1 blur fast usb port nvidia gtx 1050ti 4gb
  2. Computer4Sale Nauza laptop HP probook used as new

    HP PRO BOOK core i5 Generation 4 Ram 4 GB 2.60GHz Window 11 pro 500 GB Cd door WiFi Bluetooth price 390,000 Call 0692562259
  3. Ps4 pads zinauza

    Ndugu zangu , siku ya leo nawaletea SONY PS4 PADS Full ku enjoy Hii inaenda kwa 70,000/= tuuuuu Karibu sana Tupo kariakoo mtaa wa aggrey/ndanda Tupigie au wasap - 0659588492 Maongezi yapo , Jumla na reja reja
  4. Gaming laptops brand ya Mechanical revolution (Mechrevo)

    Habari wakuu. Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo. Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu zaidi kuliko laptops za brands nyingine zilizo na specifications sawa. Kuna mtu yeyote amesikia...
  5. Je, biashara ya gaming lounge bado ni nzuri kwa mwaka 2023-24?

    Habari wana-JF! Nipo na 5m ambayo nafikiria kuwekeza kwenye biashara. Nimepitia mawazo mengi ya biashara ila gaming lounge naona ni biashara nzuri kuanza kwa mtaji nilionao. Faida ya eneo nilipo ni karibu na chuo, kama tunavyojua vyuoni wengi ni vijana ambao kwa % kubwa wanafuatilia mpira wa...
  6. Budget Gaming PC build

    Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze kuagiza parts moja moja kulingana na budget, kipato changu sio kikubwa kihivo. Mchanganuo wangu ni kama...
  7. Computer4Sale Gaming PC bei ya kutupa

    Huduma ya kuagizia bidhaa kutoka dubai bado zinaendelea leo nawaletea GAMING PC kwa NUSU BEI πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ Dell Precision 5520 4K core i7 7th generation RAM 32Gb STORAGE 512Gb SSD 4gb dedicated graphics NVIDIA Touch screen 4K UHD TSH 1,500,000 Wasiliana nami whatsapp...
  8. Gaming Desktop Kwa kazi zote ngumu

    Asus Rog STRIX Z390-F Customized Gaming Desktop Core i7 9th Generation SSD 512GB+HDD 3TB RGB RAM 16GB DDR4 CPU 3.20 GHz 8 Threads RTX 2060 Super 8GB Power Supply Modular 600W Wi-fi Adapter 5 RGB FAN Hii Mashine ni nzuri kwa kazi zote ngumu.πŸ‘‡πŸΎ Rendering βœ… Video Production βœ… Graphics Designβœ…...
  9. Nataka nifungue gaming centre, mambo yapi nizingatie

    Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps, gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad mtumba za ziada - 300,000 spea za...
  10. Computer4Sale Gaming Machine Inauzwa

    Asus Rog STRIX Z390-F Customized Gaming Desktop Core i7 8th Generation SSD 512GB+HDD 3TB RAM 16GB DDR4 CPU 3.20 GHz RTX 2060 Super 8GB Dedicated Video memory Power Supply 700W RGB FAN 0622 901670
  11. Nauza Lenovo Curved Gaming Monitor

    Habari wana JF. Nauza Lenovo Curved Gaming Monitor G27c-10 yangu inchi 27 bei 650k. Imetumika miezi 6 Specifications hizi hapa chini. Display size: 27 inches Display type: Curved LED-backlit LCD monitor Resolution: 1920 x 1080 pixels (Full HD) Panel Type: 3-side NearEdgeless VA Refresh rate...
  12. Computer4Sale Gaming PC Inauzwa, Complete Setup kwa kazi za production

    Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini. Gaming Desktop Computer...
  13. Gaming PC

    Wakuu Nahitaji kununua gaming PC inayoweza kucheza euro truck simulator 2 bila kugandaganda yaani smooth tena kwa high graphic ni nini niangalie na kama unaweza kutoa dokezo la bei inaweza kua ngapi huko dukani condition yoyote iwe refurbished au used
  14. M

    Gaming Act inaruhusu watu wazima kucheza kamari. Sasa mbona Waziri Mkuu anamzuia huyu jamaa?

    Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo. Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
  15. Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Na hii vp wataalam je iko vizuri? Kusukuma heavy games? Na hizi ndizo sifa zake πŸ‘‡
  16. Indonesia yazuia Yahoo, Paypal kwa kushindwa kufuata sheria za leseni

    Indonesia imezizuia Yahoo, kampuni ya malipo ya Paypal na tovuti kadhaa za michezo ya mtandaoni kwa kushindwa kufuata sheria za leseni. Sheria zilizotolewa mwishoni mwa Novemba 2020, zinazipa mamlaka nguvu kubwa ya kulazimisha mifumo kufichua data ya watumiaji fulani, na kuondoa maudhui...
  17. Computer4Sale Nauza HP Pavilion Gaming Laptop bei nafuu

    interact with your PC.Video graphics: NVIDIA GeForce GTX 1050 (2 GB GDDR5 dedicated); Turn your laptop into a creative powerhouse for visually demanding apps. NVIDIA Pascal and Game Ready technologies drive the latest games in their full glory.Display: 15.6-inch diagonal Full HD (1920x1080) IPS...
  18. Je, unaifahamu Tecno pova neo gaming phone?

    POVA Neo ni toleo la bei nafuu zaidi la Tecno POVA 2. Sifa kuu za simu hii ni kioo kubwa na betri. Akizungumzia muonekano ina kioo cha inchi 6.82 chenye pikseli 720 x 1640, na sehemu ya mbele ya ina kamera ya selfie yenye 8MP. Kwa ndani, Tecno POVA Neo ina processor kubwa kabisa ya MediaTek...
  19. Gaming pc DELL Inspiron 15

    Gaming pc DELL Inspiron 15 INTEL CORE I5-6200U 2.30GHZ Turbo UPT0 2.8GHZ c p u 6TH GENERATION HDD 500GB 8GB-DDR4 speedGraphics AMD Radeon with 2Gb Dedicated battery 3hrs * 15.0 inches screen Windows 10 In Good condition Good for Graphics/Gaming and Heavy duty workPRICE 850000 only
  20. Bei na ubora wa alienware gaming laptop

    Habari wakuu nimevutiwa sana na hizi alienware gaming laptop, nauliza kuhusu bei zake pamoja na ubora wake ukishindanisha na kampuni kama hp omen, acer, msi, na je hizi msi gaming laptop zina ubora gan maana zinanivutia kimuonekano.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…