Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Azimio iliyopo Halmashauri ya Mji Rufiji mkoani Pwani (hawapo pichani) alipokuwa mkoani humo kwenye ziara yaa kikazi, Julai 21,2026.
Waziri wa Nchi...