funzo la maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    SINA CHAGUO Simulizi tamu ya maisha, iliyosheheni visa na mikasa ya kuzisisimua hisia chanya za msomaji. Ukafumbuka macho uone, yazibuke masikio usikize kwa usahihi kila kilichotamkwa na kuzungumzwa na mwandishi kupitia wahisika bora waliochorwa kwa taswira za kuvutia. Utavutiwa na mengi...
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Maisha yamekufundisha nini mpaka umri huo uliofikia?

    Mimi ni kuhusu kutomuamini mlevi - maisha yamenifundisha kutomuamini mlevi kabisa, hasa akiongea wakati kalewa! Pili, maisha yamenifundisha mafanikio yanakuhitaji wewe moja kwa moja bila kutegemea msaada kutoka kwa mtu yoyote ili tu akushike mkono uinuke hapo ulipo, sio kweli. Maisha haya...
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Machozi, jasho, damu, kukata tamaa,masimango, kejeli na kuendelea kupambana mpaka ubingwa, Arsenal the club, funzo la maisha

    Nitalia arsenal atapo beba ubingwa, hakika hii ni kubwa kuliko, funzo kubwa kwenye maisha linatolewa na arsenal, mara ya mwisho kubeba ubingwa wa epl nadhani ilikua 2003/2004. Ni miaka 22 imepita bila kukata tamaa, wameshindwa sana, hawa kukata tamaa, na sisi sasa tujifunze. hujapata bahati ya...
  4. realMamy

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno matatu naweza kuelezea kila kitu nilichojifunza kuhusu Maisha, “Yana Kwenda Mbele”

    Kikubwa ni kuwa Jasiri tu katika lolote unalopitia Muda huu. Kuna wakati mtu unaweza kupita kwenye changamoto kubwa sana na ukawa huoni wapi utatokea. Lakini nakuhakikishia kuwa hakuna lenye Mwanzo lisilokuwa na Mwisho. Haijalishi ni Changamoto ipi amini kuwa itapita tu.
Back
Top Bottom