fundi umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kati ya fundi umeme wa magari au bajaj repair ipi ni choice nzuri.

    Vyote ni katika kujenga career yenye turn over ya 2M -5M per month kwa mtaji wa million 10. 1.auto electrical repair Kuwa na ujuzi wa umeme wa magari, then kuuza spare au accessories za magari kwanza ni kuwa na ujuzi ndio pesa iwekwe kwenye biashara. 2. Bajaj repair Kutokana na ongezeko za...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme Dodoma 0678 386587

  3. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi. Sifa za Mwombaji Awe na Cheti cha Ufundi (Certificate) au Diploma ya Umeme kutoka NACTVET (zamani...
  4. dark web

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni fundi Umeme wa viwandani Jaribu hii nafasi ya kazi........

  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na Jamaa wa TANESCO nani yupo sahihi?

    Wawili hawa wametofautiana pakubwa sana kuhusu kiwango cha kuingiza umeme. Fundi umeme anasema single phase, mtu wa TANESCO ameshangaa sana, anasema huu mjengo ni mkubwa unawekaje single phase? Anasema iwe three phase. Nani mkweli hapa Matumizi makubwa AC 2 master na sitting room Heater 3...
  6. dark web

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na vifaa vya kielectroniki, anapatikana, uzoefu wa kazi, ubora na uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina. Huduma ninazotoa ni...
  7. Fredrick Bujinji

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme nipo hapa

    Habari zenu, Ni mwaka wa 9 sasa nimekuwa nikizunguka na kampuni X nikiwa kama fundi umeme wa kampuni ilihali sijasomea io taaluma, nimekuwa ni mtu wa kujisomea majarida na vitabu mbalimbali vinavyohusu masuala ya umeme pamoja na kufundishwa na wabobezi wangu. Nimefanya shughuli za ufundi umeme...
Back
Top Bottom