freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe

    Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

    Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa Chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe huenda akang'atuka kwenye nafasi hiyo ya ngazi ya Taifa aliyoihudumu kwa zaidi ya miongo mitatu mapema mwezi ujao. Habari za chini chini toka CHADEMA...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA ina Mashujaa wasiokata tamaa, ni bora tufe tumesimama kuliko tuishi tumepiga magoti!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba yake, Mbowe alikumbusha dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki miaka 33 iliyopita, akisisitiza kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amepelekwa Afrika kusini kwa ajili ya matibabu

    Wakuu salaam, Naomba msaada juu ya uhalisia wa taarifa hii inayosambaa mtandaoni kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ni mahututi na amepelekwa Afrika kusini kwa ajili ya matibabu.
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe: Septemba 24, Tutakaa na Viongozi wengine na tutatoa tamko kama tutataendelea na maandamano au laah!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi. Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama...
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano, Lissu kapoteza, Mbowe Kapata: Uchambuzi wangu

    Maandamano yaliyofanyika leo Tundu Lissu hakuonekana hadharani akiongoza wala kushiriki maandamano. , kuna dalili za mabadiliko ya kipekee katika uongozi wa chama na nguvu za kisiasa ndani ya chama hicho. Kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahusiana na athari hizi, yakiwemo ushawishi wa viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

    Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua. Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote. Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Leo Septemba 23, 2024 Mbowe yuko Arusha

    Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

    Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024. Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Hizi ndizo njia ambazo Maandamano yetu yatapita

    Kupitia ukurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024. Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja Njia ya pili - Ilala Boma Sokoni kupitia barabara ya Uhuru mpaka...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe: wanaokusudia kuandamana wana hasira na wataandamana. Namna ambavyo wanajiandaa wao kutuua na sisi huenda tunajiandaa kufa

    Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania(TCD) Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema wamekuwa na majadiliano ya mara kwa mara na serikali lakini makubaliano ya majadiliano hayo yamekuwa hayatekelezwi. Pamoja na wadau mbalimbali katika...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

    Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tulianza kuona matunda ya demokrasia katika nchi yetu lakini ghafla ule uimara haujawa endelevu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali amesema Katika kipindi kifupi ambacho tulishaanza kuona matunda ya demokrasia katika nchi yetu, kwamba kiwango kikubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe amjibu Rais Samia; Ni kweli watu wengi wanafariki, upekee unatokea anapodakwa na vyombo vya dola halafu anapotezwa

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) amejibu kauli ya Rais Samia kuwa 'Kifo ni Kifo tu' amesema "Ni kweli vifo vipo vingi na watu wengi wanapoteza maisha, tunakubali, lakini maisha yote haya yanayopotea kila mmoja una thamani...
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe mwanasiasa, mfanyabiashara na mkulima asiyeogopa hasara

    Baba wa ubatizo wa watoto wa Mzee Aikael Mbowe au Nyerere kumtuma Mzee Aikael Mbowe kwenda kutoa posa ya ndoa ya mtoto wake Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa Rukwa wa Sasa) kwa niaba yake Ingetarajiwa ukaribu wa Baba yako na viongozi wa nchi ungeathiri mlengo wa kisiasa kwa kutaka usaidiwe kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe mwanasiasa, mfanyabiashara na mkulima asiye ogopa hasara

    Miaka 64 iliyopita familia moja ya kitajiri mkoani Kilimanjaro ilipata mtoto wa mwisho wa kiume ikamuita "Freeman" kwa maana ya mtu huru. Jina lake na mazingira yake ya malezi na makuzi ndiyo kitu kinachovutia watu wengi kutaka kumfahamu zaidi. 1.Imewezekanaje mtoto wa familia ya...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu ni Freeman Mbowe yupi? Yule wa bunge la katiba? Au huyu wa sasa kibogoyo asiyeweza kung'ata?

    HUYU NI MBOWE YUPI? Huyu MBOWE wa CHADEMA hii ya baada ya kutoka Ikulu kuongea na MAMA kwa siri; sio yule Mbowe wa CHADEMA ya Bunge Maalum la Katiba. Huyu ni MBOWE mwingine kabisa na wa tofauti; ambaye ameifanya CHADEMA ya sasa iwe Kibogoyo isiyoweza tena kung'ata. Hovyo kabisa! Yes! Ni MBOWE...
  19. JamiiForums Tanzania Dunia nzima yamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Freeman Mbowe

    Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika. Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Uadui siasani uko huku chini kwa akina Mdude vs Lucas kule Juu Dr Nchimbi amesema " Mbowe alinipigia Simu mara 5"

    Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…