freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mratibu wa Kampeni za Mbowe: Kumtuhumu kushirikiana na CCM ni kumkosea heshima, Tunamhitaji Mbowe kuliko anavyojihitaji yeye mwenyewe

    Mratibu wa kampeni za Freeman Mbowe ametoa kauli kali akiwataka wale wanaomtuhumu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuacha mara moja, akisisitiza kuwa ni kumkosea heshima kiongozi huyo. Akizungumza na Jambo TV, mratibu huyo ameeleza kuwa Mbowe ameonyesha...
  2. JamiiForums Tanzania Olengurumwa atoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi

    Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe alifanya kosa dhidi ya Universe sasa analipia

    Moderator Naomba kichwa cha habari kisomeke hivi👇👇👇👇 TAREHE 17 SEPTEMBER 2017, MBOWE ALIFANYA KOSA KUBWA SANA DHIDI YA UNIVERSE. ............................................................ Niliwahi kuandika hapa Jf kwamba ndugu, jamaa au rafiki yako wa karibu akipatwa na jaribu/mtihani wa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

    Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Utaijengea CHADEMA heshima Utajijengea heshima kubwa zaidi Kwa kuijengea CHADEMA...
  5. JamiiForums Tanzania Hekima imuelekeze Mbowe kujiepusha na midahalo holela, badala yake ajikite kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu ili apate ushindi wa kishindo kwa haki

    Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na...
  6. JamiiForums Tanzania Ibrahim Ngogo: Ametoa wito kwa wajumbe wa chama hicho kumpigia kura Tundu Lissu

    Naona mdogo mtu akiwa anamsapoti Freeman Mbowe wakati kaka mtu yeye akiwa anamsapoti Lissu, Msikilize jamaa kamchana chana vibaya Freeman Mbowe kwa hoja tano. ====================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Makete, Ibrahim Ngogo, ametoa wito kwa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu za msingi na makini kwa nini Chadema tunamuhitaji zaidi Mbowe

    Habari zenu waungwana, natumaini mko poa na mnaendelea vizuri sana na majukumu na mapumziko ya mwisho wa mwaka. Kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko nimaemua kuitumia kuwaandikia na kuwahimiza wajumbe wa kamati kuu ya chadema wasifanye makosa. Kwanza kabisa mimi Mbowe na Lissu wote ninawaheshimu...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Uhusiano wangu na Mwenyekiti Mbowe siyo mzuri

    Makamu mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa kiti cha mwenyekiti wa Chadema kwenye uchaguzi ujao tarehe 21, January Bwana Tundu Antipas Lisu amefichua siri kuwa uhusiano wake na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwa ni mbaya sana kiasi kwamba hawezi kwenda nyumbani kwa Mbowe akala na kunywa kwa...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe akishinda anatakiwa ajiuzulu ndani ya mwaka mmoja

    Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama. Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia. Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai. Usisahau kutibu majeraha na...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

    Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela. Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe. Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Tundu Lissu ajibu hoja za Freeman Mbowe kuhusu Maridhiano na CCM/Serikali, Mahusiano yake na M/Kiti na hoja za Wenje kuhusu rushwa ya Abdul

    Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique... Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani... Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kumuelewa Tundu Lissu, moja kati ya wanasiasa niliokuwa nawakubali sana

    Nashindwa kum define Lisu my once favorite politician! Nashindwa kumwelezea Lisu, mwanasiasa niliyempenda sana hapo awali! Pengine anaweza kufafanuliwa kama mtu mwenye mgawanyiko mkubwa—kukosekana kwa uwiano kati ya mawazo, hisia, na tabia. Hii husababisha mtazamo potofu, matendo yasiyofaa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe asishupaze shingo. Lissu anamwaga petroli kwenye mbao za CHADEMA huku akiwa ameshika kiberiti

    Ningelikuwa mshauri wa Mbowe ningemshauri awe mpole tu. Huku mitaani na mitandaoni kote watu wanayaamini maneno ya Lisu. Mbowe anaonekana ni mwizi, mlaghai, mra rushwa na king'ang'anizi wa madaraka. Mbowe akishupaza shingo na kuendelea na msimamo wake, basi mbao za chadema zitagawanywa ama...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Mbowe ndiye alimualika Rais Samia kama mgeni rasmi kwenye Kongamano la BAWACHA na kumuandalia Tuzo ya Maridhiano

    Wakuu, Lissu anazidi kumwaga mchele! Anasema kwenye mkutano ule BAWACHA hawakumualika Rais Samia kama mgeni rasmi bali aliakiwa na Mbowe! Baada ya kuwa kamualika ndio alikuja kuwajulisha wengine kuwa amemualika Samia kama mgeni rasmi. Lissu anasema kwenye hili pia waliamua kukaa kimya na...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Kulingana na hotuba ya Mbowe na body language inaonekana bado alikuwa na ndoto kuwa maridhiano hayajavunjika

    Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa ni masharti ambayo CCM walitakiwa kufanya kabla ya kuingia kwenye maridhiano. Pia soma: Pre GE2025...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

    Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi. Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote

    Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Tutaweka ukomo wa Ubunge wa Viti Maalum ili wanawake wengi wanaokipigania Chama wapate fursa na isiwe kikundi cha watu wale wale miaka yote". Pia soma - Pre GE2025 - Tundu Lissu: Mimi sina maslahi binafsi kwenye...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe anaendekeza Ukabila. Kati ya wafanyakazi 19 wanaolipwa Mishahara na CHADEMA 9 wanatoka Killimanjaro

    XxxxxX Twende Pamoja, kwa muda mrefu wapinzani wetu kisiasa wamekuwa wanasema udini na ukabila zaidi kwa swala la Ukabila wanalengwa watu kutoka mkoa wa Kilimanjaro anakotokea Mwenyekiti wetu wa Taifa. Naomba nikushirikishe na wewe upime Je kuna ukweli wowote? Secretariat ambacho ni chombo cha...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

    Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv: Watoa maoni: 12,148 Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84% Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%. Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe hakumtaja Soka na wenzake kwenye hotuba yake badala yake akasifia uongozi wa Rais Samia. Atalipia machozi ya waliopotea

    Kijana Deus Soka umeipambania Chadema kwa jasho na damu. Mara kadhaa umekaa jela, umepigwa, umeumizwa umepitia madhila mengi ukiamini unapigania mabadiliko ya kweli. Ulikuwa mstari wa mbele kuipigania katiba mpya tulikuona ukipigwa virungu na mateke ulipojitokeza na wenzio kumi maandamano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…