freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Freeman mbowe NI wakati sasa wakuachia madaraka pamoja na kashifa zote ulizonazo zakutumiwa na Abdul

    Kuna nyakati watu wengi walikuwa wakisema mbowe ni wakala wa ccm mda mrefu watu wengi walibisha hususani machawa wake ambao kwa sasa ndoo wanaompigania kugombea tena kiti cha mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo. Mbowe asichokijuwa Tundu lisu ana clip zote zinazoonesha wenje kwenda...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara na 'mgombea' wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu amewashukia wale wote wanaodai kuwa miongoni ya watu wanaomuunga mkono katika kinyang'anyiro cha kutafuta nafasi hiyo ni wale ambao mara...
  3. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mbowe kataa mtego wa kuombwa kuendelea kuwa Mwenyekiti

    MBOWE KATAA MTEGO HUU WA KUOMBWA KUENDELEA KUWA MWENYEKITI. Mwl. Nyerere kila alipotaka kung'atuka wapambe waliandamana kumtaka aendelee wakimwambia Nchi hii changa bila wewe tutakwama, Bila wewe hatuwezi kwenda popote na Mwl. aliwasikiliza akawakubalia lkn mwishoni aliamua kufanya maamuzi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe alitoka CCM akajiunga Chadema na Tundu Lisu alitoka NCCR Mageuzi akajiunga Chadema, Katiba ya kwanza ya Chadema walikopi ya NCCR Mageuzi!

    Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sitaki kwenda kwenye Vita itakayokipasua Chama nakwenda kwenye Vita itakayokijenga Chama!

    Kumbe ndugu zetu wa Chadema uchaguzi kwao ni Vita Nimeogopa sana 🐼 =============== Lakini nataka wote mtambue sihitaji kwenda kwenye vita yoyote ambayo itakipasua chama hiki ila nahitaji kwenda kwenye vita ambayo itakijenga chama hiki. "Ndio sababu nikasema hatua ya kwanza natangaza msamaha...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna ubishi tena baada ya press ya leo kuwa Mbowe ni CCM oyeee!

    Kwa hii sinema amefanya leo Mbowe hakuna ubishi tena kuwa yeye ni CCM. Kule CHADEMA yupo tu kuchangamsha genge. Hata kashkash anazopitia ni maigizo tu aonekane kumbe naye yumo. Kapita mule mule hadi matamko ya msahama kwa ambao hawamkosoa. Umetoka kusema kuna ummoja ila kila Lissu akifanya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Familia yangu imeniambia niachane na siasa

    Kumekucha huko! Bwana mkubwa Mbowe amedai kwamba familia yake imechoshwa na mambo yanayomkuta mzee wao sasa wamtaka apumzike na siasa na akafanye mambo mengine. Hoooo! Sio mbinu ya kinamna ya kujikacha katika kuonyesha nia ya kuwania nafasi ya uwenyekiti wa CHADEMA? ======================...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini baada ya miaka 20 bado CHADEMA wengi wanaona Mbowe hana mbadala?

    Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa. Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra. Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kumuona Freeman Mbowe akielekea walipo Prof.Lipumba na Cheyo

    Kumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali. Baadae akaja Mbowe. Akajijengea heshima kubwa. Mimi na wenzangu tulikuwa tunapuuza kumsikiliza Rais...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa. Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi ==================================================== Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nimewasamehe wote walionitukana ni ushamba tu, lakini watambue msamaha una mwisho, wakiendelea tutafikishana pabaya

    Wakuuuu, Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi Akisema...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa: CHADEMA ni kimbilio kwa wanasiasa waliopata misukosuko

    Wakuu! CHADEMA ndiyo msingi mmoja wapo kwamba wanasiasa wakiteseka huko kwenye vyama vyao waje kwao waenjoy siasa safi? Ila hii game bado ni ngumu ngoja tuone nani atashinda! ========== (Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) umejenga chama ambacho kinapokea kila mtu bila kujali ametoka...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tangu jana nimehifadhiwa ndani kama mwali. Wanaodhani mimi nimepanga mkusanyiko huu sio kweli

    Wakuu, Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu. Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Historia yangu inajieleza sihitaji kujinadi! Chama hakijajengwa na fedha za wizi

    Wakuu, Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi Mbowe kasema hana haja ya kujieleza historia yake inajieleza, na kuwa chama...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe

    Mambo yanazidi kunoga huko jamani. BAWACHA Pwani wamesema watatoa Tsh. Milionin1.5 kumchangia Mbowe achukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA sababu wanaamini kwenye uwezo wake. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi Mbowe...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe alivyowasili tayari kwa tamko lake

    Mwenyekiti wa CHAFEMA, Freeman Mbowe akiwasili tayari kuzungumza na wanachama waliojitokeza nyumbani kwake leo Desemba 18.2024.
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe acha utoto, wanachama wamekufuata nyumbani kwako ghafla lakini wamekuta hema, viti, soda na maji, acheni utani jamani

    Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti Yapo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti

    Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼 == Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makada Chadema wajitosa kumshawishi Mbowe atetee uenyekiti

    Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo. Hadi sasa Mbowe...
  20. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Kwa makusudi, au kwa kutokujua, Lissu anataka kuleta mpasuko CHADEMA!

    Wakuu, salaam zenu! Moja kwa moja kwenye mawazo yangu. Nimefikiria sana, style ya Mh. Tundu Lissu, ya kuutaka Uenyekiti wa chama chao, nimeona inaweza kuleta athari fulani. Yeye mwenyewe amesema, ameshawishiwa na wadau, agombee hiyo nafasi! Sina shaka, baada ya hao wadau kuona aliyepo HATOSHI...
Back
Top Bottom