freeman aikael mbowe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Sugu: Nilikuwa team Mbowe, ila Lissu ni mwanangu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amesema kwamba ingawa katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho alimuunga mkono Freeman Mbowe, katika maisha yake binafsi alikuwa rafiki zaidi wa Tundu Lissu tangu walipokuwa pamoja bungeni...
  2. 6 Pack

    SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

    Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
  3. R

    Kama ni kweli, Freeman Aikael Mbowe usifike huko

    Anandika Hilda Newton HUJUMA MSIBA WA MUASISI WA CHADEMA MZEE EDWIN MTEI. Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei. Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku...
  4. Waufukweni

    GE2025 Amani Golugwa: CHADEMA hatujanuniana na Mbowe, faragha yake iheshimiwe

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
  5. Waufukweni

    GE2025 Amani Golugwa: Mbowe anawajibu wa kuzungumza na hatakiwa kuukwepa kabisa, Watanzania wanamshangaa!

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
  6. R

    Mbowe umejifunza kuwa : People speak at people not to people

    Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa Ni 1. Best friends 2. Best family friends 3. Significnt others akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others. Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha...
  7. Tlaatlaah

    Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

    Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa. Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi? Au ni uchovu wa...
  8. Tlaatlaah

    Hapatakua na uchaguzi wa round ya pili, huenda Freeman Mbowe akachaguliwa kua mwenyekiti wa CHADEMA kwa kura zaidi ya 700 za wajumbe wote

    Huenda Freeman Aikaeli Mbowe akatangazwa mshindi wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kujizolea kura zaidi ya 700 za wajumbe halali waliothibitishwa kua wapiga kura na kamati kuu. Ni wazi na ukweli usiofichika kwamba kanda zenye wajumbe wengi zaidi wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa ni ngome imara...
  9. Nguruvi3

    CHADEMA na Minyukano : Fursa , Makosa na Anguko

    Mpambano wa FAM na TAL una afya ''Chawa Wanashona Sanda, Wapambe wanachimba kaburi Kwa wiki, habari zinazotamalaki ni mpambano wa Uenyekitiki wa CHADEMA (CDM) kati ya Mh Mbowe (FAM) na Mh Lissu (TAL). Mvutano kati yao umepandisha joto la siasa nchini kuliko wakati mwingine. Joto la siasa...
  10. mcubic

    Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    Historia Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Jina lake la kwanza "Freeman" waliwahi kupewa vijana wengi tu waliozaliwa mwaka ambao Tanganyika ilipata uhuru. Mbowe alizaliwa Septemba 14, 1961 hapahapa Tanzania. (atafikisha miaka 54 Septemba 2015). Baba...
Back
Top Bottom