Wakuu, baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi Ofisi ya Chang'ombe limemwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana.
Enyi jeshi la Polisi msiosikia, mbona mmegoma kuwa wastaarabu na kufuata PGO?
Kwanini mnakamata watu kimyakimya, hamtoi taarifa na hamtoi haki ya dhamana kwa wakati...
Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar.
Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni Polisi ila haijajulikana alipopelekwa mpaka sasa.
Soma pia: Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye...
Anaandika Fortunatus Buyobe kwenye Mtandao wa X
====
Juzi niliripoti tukio la jaribio la watu kuniteka.
Watu wale wakitumia gari tatu aina ya Land Cruiser na Subaru Forester nyeusi walitaka kuniteka nikiwa naendesh gari langu.
(Sijui walitumia muda gani kujua gari ninalotumia, Sijui walijua...
Fortunatus Buyobe ndiye muandishi wa makala za Uchunguzi ninayemfahamu. Kwa muda mrefu Nimekuwa nikisoma makala zake tangu Twitter, Telegram na Sasa Clubzilla.
Hivi karibuni amekuwa mzembe kwani amekuwa akirudia_rudia makala. Tunalipia subscription Kila mwezi lakini ameanza michezo wa kupost...
Baada ya Fortunatus Buyobe kutaka mtoto nayeumwa asaidiwe na wizara huku akishindwa kutofautisha baina ya wizara aya afya na ile ya jinsia na ulemavu na mwishowe kuambiwa afate utaratibu jamaa amekuwa mbogo na kuaishia kulumbana na waziri.
Hizi dili za kuchangisha harambee mitandaoni imekuwa...
Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.