flutter

Flutter is an open-source UI software development kit created by Google. It is used to develop cross-platform applications for Android, iOS, Linux, macOS, Windows, Google Fuchsia, and the web from a single codebase.First described in 2015, Flutter was released in May 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. Cybercurex

    App Ya Mapishi na Vyakula mbalimbali

    Wataalamu wenzangu wa Flutter, hii hapa tena Mapishi App — jukwaa la kipekee kwa wapenda kupika App hii inaruhusu wanawake (na wote wanaopenda kupika) kupost vyakula, kushare mbinu, na kujifunza mapishi mbali mbali. Kila recipe inakuja na maelezo ya kina: jinsi ya kuandaa, viambata, muda wa...
  2. Cybercurex

    Nimedisgn e-commerce App Kwa kutumia flutter

    Mambo vipi wadau Leo tena nimekuja na design nyingine ya simple ecommerce app kwa kutumia flutter,App hii ni ya mfano tu, haina backend halisi , hivyo data zote ni dummy. Lengo langu ni kuonyesha uwezo wa Flutter katika kutengeneza apps zinazovutia kwenye UI/UX. Features za App hii: Home...
  3. Cybercurex

    Jamii forums app clone + modification kwa kutumia flutter

    Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi. design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo wa Flutter kwenye mobile app development, na pia kujaribu kuibua ideas mpya kwa ajili ya apps...
  4. mathsjery

    Inatumia node is na mongo db, au Laravel na mysql, au vyote kwenye app zako za flutter au react native, toa maoni Yako.

    Ipi ni tekinolojia nzuri kwako kulingana na factor hizi 1. perfomance 2. Hosting cost 3. Maintenance Moderator edit tile inatumia node Jana mongo db...
  5. African Geek

    Nimeachana Rasmi na Flutter. Sasa ni ios/SwiftUI

    Baada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development. Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa Flutter kulinganisha na Native Apps. Kwa sasa nina wiki moja tangu nianze kujifunza kutengeneza...
  6. African Geek

    Nimetengeneza Web App kwa Flutter

    Nimetengeneza Web Application ya majaribio kwa kutumia Flutter na nimei deploy kwenye platform ya Vercel. Link hapa chini.. 👇 Bonyeza Link 👉 👉 🔗 FITNESS APP Ukiifungua itakuja pop up inayokupa option ya kuinstall kama app ambapo itatengeneza icon kwenye home screen yako na utaweza...
  7. African Geek

    Naombeni mchango wa mawazo juu ya hii Project.

    Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza. Kwa sasa...
  8. African Geek

    Njoo tujifunze namna ya kutengeneza Mobile Apps kwa Flutter

    Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web. Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili...
  9. robbinhood

    Flutter Programming: MpesaApp UI (Note: The UI will not be 100% identical to the original).

    Kwa wapenzi wa programing. Twende sawa kwa framework ya flutter. Any comments and suggestions is allowed, Day one Pic 1 Pic 2 Source code:
  10. African Geek

    Niendelee na Elimu ya chuo au nijiendeleze mwenyewe mtandaoni?

    Yes
Back
Top Bottom