fisi

The Italian Winter Sports Federation (Italian: Federazione Italiana Sport Invernali; FISI), is the winter sports federation for Italy. Part of the Italian National Olympic Committee (CONI), it deals with all federations conducting sports for the Winter Olympics, including skiing, skating, biathlon, bobsleigh, and luge.

View More On Wikipedia.org
  1. Sio kweli kuwa Fisi mmoja ana jinsia mbili, fahamu ukweli kuhusiana na mkanganyiko huu

    Mkanganyiko huu unasababishwa na Fisi Jike Maumbile ya Fisi Jike Fisi jike ana kisimi kirefu kinachoitwa pseudo-penis ambacho kinafanana sana na uume wa dume. Pia, midomo yake ya uke imejishika na kutengeneza mfuko unaofanana na korodani (pseudo-scrotum) Uzazi Licha ya kuwa na maumbile...
  2. Waislamu wanaruhusiwa (HALAL) kula FISI NA MIJUSI. Lakini Nguruwe ni kharamu

    Waislamu tunaruhusiwa kula FISI na MIJUSI hao ni HALAL kabisa Hadithi inayoelezea hivyo ni riwaya ya Sayyidina Jabir ibn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji na kula fisi, na ipo katika makusanyo ya hadithi ya Kiislamu. Muhtasari wa tukio Sayyidina Ibn Ammar (RA) alimwuliza Jabir ibn Abdullah (RA)...
  3. Musa Fisi.

    Asili ya fisi huyu kuitwa Musa ni kwa vile siku moja alipojaribu kumkamata mwanamke aliyekuwa amelewa; bibi huyo alimdhani fisi ni mumewe aitwaye Musa, hata akamwita kwa sauti kuu, “Musa Musa! Bwana wangu silewi tena, bwana! Usiniadhibu namna hii, kwanza makucha yako leo makali bwana.” Basi watu...
  4. Z

    Viongozi fisi! Walitangaza kuuza Meno ya Tembo na pembe za Faru. Sasa wametangaza kuuza dhahabu

    Pale Mpingo House walitunza meno ya tembo na pembe za faru. Ghafla wakatamani pesa, wakatangaza kuuza. Bahati nzuri kwa TZ, Kenya walivuruga mpango huo, wakashindwa. Sasa wamekuja na jipya. Wanatangaza kuuza dhahabu. Yaonekana wanaojiita ni viongozi ni kama fisi vile, hata akichomwa mkuki...
  5. GE2025 Kwa fisi, awe wa kike au kiume, akiona nyama, utamjua

    Sijui hata nimaanishacho hapa. Ila fisi na nyama ni balaa bila kujali jinsia wala umri. Ni ujinga kiasi gani kumpa fisi nyama ukadhani ataiacha au kuficha ufisi wake? Baya zaidi ni pale fisi anapokuwa mwenye mamlaka ya kuamua nani ale au asile nyama. Najipigia kelele kimya kimya.
  6. Mbona Polisi wanakuwa kama Fisi? Kwani walijua ni Lissu yupi?

    Wamemkamata dada wa watu. Kwani walijua ni Lissu gani anayependwa? Hivi maLissu wapo wangapi huko Manyoni na Itigi? Haya basi tuseme hapa anapendwa Tundu! Mnakataza hata kupenda watu? Je kama ni mjomba ake? Mbona mnakuwa kama mafisi?
  7. M

    Kondoo 17 wauawa, watano wajeruhiwa na fisi wanne Itilima

    Hofu imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Gambasingu wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu baada ya fisi wanne kuvamia zizi la kondoo na kuua mifugo 17 huku wengine watano wakijeruhiwa katika shambulio la usiku wa manane, leo Agosti 20, 2025. Shambulio hilo lilitokea majira ya saa sita usiku katika...
  8. Kama Gwajima Ndiye Mtetezi wa Haki, Basi Fisi Ni Mlinzi wa Kondoo

    Katika dunia ya hoja na mantiki, ni kweli kwamba ujumbe ni muhimu kuliko mjumbe. Lakini je, kila mjumbe anastahili jukwaa? Mbona si kila njiwa huleta barua njema; wapo wanaoruka wakiwa wamebeba hadaa na uzushi. Gwajima ni baba wa ahadi zilizoharibika kabla ya kuzaliwa. Aliwahadaa wananchi wa...
  9. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  10. Watutsi ni watu wenye tamaa ya ukuu sawa tamaa ya fisi kula

    Ndugu zangu wabantu na wale mbari za wachache katika eneo letu la maziwa makuu tujihadhari na hawa jamaa mbari ya kitutsi. Watanzania hua wanaogopa kuzungumza chochote kwa msingi wa kikabila au kimbari. Sisi kwa asili yetu tuna umoja sana. Ila katika dhana hiyo tunafeli kuchambua vema tatizo...
  11. W

    DC Simalenga atangaza msako kwa wafuga fisi

    Wakuu wenye uzoefu hivi ukifuga fisi unakuwa unamfanyia nini? Yani anakuwa kama mbwa au? === Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga, ametangaza msako mkali wa fisi baada ya tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa kondoo 21 katika Mtaa wa Mahina. Amesema uchunguzi unaendelea kubaini kama kweli...
  12. Mwanadamu huzaa kwa uchungu sababu ya dhambi aliyofanya bustanini Eden. Fisi je alikosa nini, mbona yeye ndio mnyama anayezaa kwa uchungu zaidi?

    Je, ulijua kwamba fisi hupitia moja ya uzazi wenye maumivu na ugumu zaidi kati ya wanyama wote? Fisi jike ana anatomia ya kipekee ya uzazi—kile kinachoonekana kama uume ni kisimi kilichorefuka, kinachojulikana kama pseudo-penis. Sehemu zake za siri zimeungana, zikionekana kama korodani. Wakati...
  13. Wenzetu(China) wanafanyia majaribio treni ya umeme yenye mwendo wa Km 450/saa...Vipi sisi na nyungo na fisi zetu?

    Nimeikuta habari hii mtandaoni Kwenye Facebook Ajabu watu wakaanza mahesabu...mara Dar Mbeya masaa 2...mwingine Dar Arusha masaa 3 nk Mbona tunatamani vya watu hali tuna vya kwetu...Fisi wetu na nyungo zetu za usiku hazitutoshi? Ukweli ni kuwa kizuri chajiuza...Acha tuendelee kutopea kwenye...
  14. F

    Fisi wenye plate number: Ni kwamba Simiyu wapo mbele ya wakati au serikali ipo nyuma ya wakati?

    Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
  15. Hii ya fisi 17 wenye chapa kuuliwa sio bure kuna sehemu na namna mitambo ilitingishwa.

    Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose. Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi. Inakuwaje mtu...
  16. Fisi aliyeuliwa amekutwa na chapa ya jina kwenye paja lake

    SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia katika makazi ya wananchi. Cha kushangaza, fisi huyo alikutwa na maandishi kwenye paja lake la...
  17. Popo mwenye uwezo wa kuambukiza corona amegundulika huko China.

  18. SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa kienyeji) akiwa na fisi

    Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Januari 24, 2025, saa kumi na mbili jioni katika Kijiji cha Kilulu Kata ya Bunamala Tarafa ya Ntuzu wilayani Bariadi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi kazi cha kupambana na uhalifu, kilifanikiwa kumkamata Emmanuel John Maduhu (31), Msukuma na mganga wa kienyeji...
  19. Kwanini simba mfalme wa nyika hawezi kumdhuru fisi?

    Wakuu habari za uzima? Wengi tunafahamu simba ni mfalme wa nyika na anapo unguruma wanyama wengi hukimbia mbali nae. Kwanini simba huyu mwenye nguvu na spidi hawezi kufua dafu kwa fisi mnyama mdogo kiumbo? Wataalamu Embu mtupe elimu kama ni kisayansi au kwa namna yoyote tujifunze.
  20. Mfumo fisi maofisini

    Habari ya muda huu wanajf. Naimani tuko vizur mnoo, mvua kila Kona shida kwa wafanyakaz biashara ndogondogo. Msikonde ndugu zangu tupambane, tukomae.. life is no longer space for leasure but only struggle to survive. Midabwada nimekuwa mchangiaji mkubwa sana kwenye madabalimbali nilizokuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…