fifa

  1. JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa FIFA na UEFA kujiingiza kwenye mzozo wa Russia na Ukraine?

    FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
  2. JamiiForums Tanzania FIFA, UEFA washirikiana kuifungia Urusi michuano yote, klabu na timu za taifa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kwa pamoja wametangaza kuzifungia timu zote za Urusi katika michuano ya kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za taifa hadi hapo itakapotolewa taarifa nyingine. Mamlaka hizo za soka zote zimetoa tamko la pamoja...
  3. JamiiForums Tanzania FIFA na UEFA zafungia timu zote za mpira wa miguu za Urusi

    Habari, FIFA na UEFA zimevifungia vilabu vyote vya mpira wa miguu vya Urusi kushiriki katika michezo. Zimevifungia kuanzia ngazi ya vilabu hadi kimataifa na kuzuia kushiriki kombe la dunia 2022 na mashindano ya wanawake Euro 2022. Kufungiwa huko ni muendelezo wa hatua zinazochukuliwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mason Greenwood aondolewa kwenye bidhaa za FIFA

    Mchezaji wa soka wa Manchester United Mason Greenwood ameongzewa mda zaidi wa kushikiliwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono na kutoa vitisho vya kuua. Mchezaji huyo mwenye miaka 20 alikamatwa kwa tuhuma za ubakaji na shambulio siku ya jumapili. Polisi wa Greater Manchester Police (GMP)...
  5. JamiiForums Tanzania FIFA Arab cup final, Algeria winner

    Timu ya taifa ya Algeria wameshinda goli 2 kwa 0 dhidi ya Tunisia katika mchezo wa fainali uliyopigwa leo mazehe. Wafungaji ni, Sayoud 99 Brahimi 120+5 Wenye mpira wao bwana,,,hawatumii nguvu wala uganga ili wawin,,,ni akili tuu ina2mika hapo,,,Hongera zao magiant.
  6. JamiiForums Tanzania FIFA Legal Handbook

    Leo napenda kuongelea Sheria ya 15 ya FIFA inayohusu "Member associations’ statutes" Member associations’ statutes must comply with the principles of good governance, and shall in particular contain, at a minimum, provisions. relating to the following matters: (a) to be neutral in matters of...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo Ismail Aden Rage namtunuku rasmi 'Honorary Doctorate Degree' kwa Kuzijua vyema Sheria za Soka za FIFA na CAS

    Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda.... "Nawashauri Yanga SC waachane na kutaka Kukata Rufaa huko CAS kwani wanapoteza...
  8. JamiiForums Tanzania FIFA Football Law 14: Rules of a Penalty Kick

    Hebu tuambieni. Kwanini penalty inapigwa watu kama wote wamo ndani!? The referee places the ball on the penalty mark (the spot) and it must remain stationary. The goal posts and net must also be still (e.g. not moving). Next, the match official will identify and confirm which player is the...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA kuishushia rungu Kenya

    Kifuatiwa kitendo cha Serikali ya Kenya kuingilia Shirikisho la Mpira Kenya (FKF) na kumsimamisha Rais wa shirikisho ilo ni wazi FIFA. Mida wowote wataisimamisha Kenya , endapo Fifa wataisimamisha Kenya hapo Kesho basi timu iyo itatoa zawadi ya point tatu kwa kila timu iliyo kuwa nayo ktk...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

    Leo kutakuwa na Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 pale Qatar, kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo katika dimba la Benjamin Mkapa hapa Dar Es Salaam. Taifa Stars wataingia dimbani wakitafuta point 3 muhimu ili waendelee kutengeneza mazingira mazuri ya kufuzu kombe la Dunia. Ni mchezo...
  11. JamiiForums Tanzania FIFA Imeiamuru Simba SC Kumlipa fidia ya Milioni 110 Mchezaji wa Congo Doxa Gikanji

    Mchezaji huyo alisajiliwa dirisha dogo January 2021 lakini kutokana na SImba SC kushindwa kukamilisha Usajili wake katika ngazi ya CAF...Makolo FC wakaamua kunvunjia mkataba mchezaji huyo baada ya kuona asingeweza kuwasaidia kwenye michuano ya CAF. Huvyo Doxa akabaki akiwa hana timu wakati huo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

    GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja. GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Benin vs Tanzania, Madagascar vs DR Congo on African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

    Tanzania(Taifa stars) kupambana tena na Benin kwa mara hii wakiwa ugenini Siku ya Jumapili Oktoba 10 kuanzia saa 10 za jioni, katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 nchini Qatar. Stars ilipoteza nyumbani dhidi ya Benin kwa kufungwa bao 1 kwa 0 katika mchezo uliopigwa dimba la Mkapa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba akijipanga hii nyimbo hata FIFA wanampa hela for World Cup 2022

    Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka kimataifa kabisaaaaaaa hata FIFA wanaweza kulitumia katika orodha ya anthems za World Cup 2022.
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

    Tanzania(Taifa stars) and Benin meet at Mkapa Stadium on Thursday in a battle between two sides at the top of their World Cup 2022 qualifying group. The sides are level on points and goal difference ahead of their double-header this week, with Tanzania set to travel to Benin on Sunday. Another...
  16. JamiiForums Tanzania Oktoba FIFA ranking kwa nchi za wachezaji wa Simba na Yanga

    Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa. Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji. Taifa Nafasi Africa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Kibu Dennis na Fifa ranking, tutakoswa adhabu kweli?

    Jamaa alicheza mechi ya kirafiki na Malawi akatoa assist moja, akangushwa na kusababisha foul iliyozaa goal, tukawapiga malawi goal 2 ikasaidia kidoogo kupanda ranks za Fifa Jamaa kacheza huko ngara kacheza Geita Gold, Mbeya City akiwa kama Mtanzania baada ya kufika simba anaambiwa siyo...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kusherehekea ushindi wa kombe la Dunia (FIFA) utakochukuliwa na Tanzania mwaka XXXX

    Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4. Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba...
  19. JamiiForums Tanzania Mabadiliko sheria tano za soka kutoka FIFA, kuchezwa dakika 60, kadi za njano na mengine

    Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA, lipo katika kufanya majaribio ya mabadiliko ya baadhi ya sheria ambazo huwenda zikaja kuanza kutumika siku za usoni huku lengo kuu ikiwa ni kuuboresha zaidi mchezo huo pendwa. Majaribio hayo yameanza kufanywa kwenye Mashindano ya Vijana...
  20. JamiiForums Tanzania Fifa yaipongeza Simba

    Rais wa Shirikisho la Kimatiafa la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza timu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/2021. Katika barua yake kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia, Rais Infantino alisema kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…