fibre

Fiber or fibre (from Latin: fibra) is a natural or man-made substance that is significantly longer than it is wide. Fibers are often used in the manufacture of other materials. The strongest engineering materials often incorporate fibers, for example carbon fiber and ultra-high-molecular-weight polyethylene.
Synthetic fibers can often be produced very cheaply and in large amounts compared to natural fibers, but for clothing natural fibers can give some benefits, such as comfort, over their synthetic counterparts.

View More On Wikipedia.org
  1. Vhagar

    Natafuta fibre cement roof sheet.

    Hello JF NAhitaji aina hizo za bati . Nataka kuezekea nyumba ya hidden roof. Naziona mara nyingi kwenye majengo ya zamani. Naona imara na hayapati kutu. Anayefahamu nitapata wapi na bei zake pls msaada.. namba zangu 0625182788, WhatsApp, text, & normal calls.
  2. Anonymous

    KERO Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Wana Jamvi, Habarini. Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni. Nilijibu kuwa tayari nina maombi 17 yangu mwenyewe, na hizi ni order numbers. Waliniambia andika jina...
  3. P

    Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

    Nimelipia ili kufungiwa huduma leo ni siku ya tatu hawajanipa huduma, nikiwapigia wanadai kuna tatizo, mbona hela mumechukua kwanza? Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku kuliko hawa wapya
  4. S

    Huduma za Fibre nje ya mji

    Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana
  5. R

    Kwanini makampuni yanayosambaza Fibre internet wametususia mikoani ?

    Airtek Fibre Halotel Fibre Yas Fibre Liquid Simba net Zuku Go Fibre n.k. TTCL wapo lakini utendaji upo chini sana, watumishi wameridhika, hadi waje kukufungia internet ni shughuli pevu sio ya kitoto, pia upatikanaji (coverage) ni kwa maeneo machache. hayo makampuni mengine yaliyojazana DSM...
  6. B

    Halotel fibre

    Kwema kuna mtu anatumika hii huduma ya Halotel fibre??
  7. abramaleko

    Halotel Fibre

    Jamani kwa aliyeshatoka kutumia hii huduma ya halotel fibre ipoje na ipo reliable? Mm kwa sasa nakaa goba ila natumia hii router ya airtel 5g nalipia hii 30mbps kwa 110,000 na during peek hours yani haifai kabisa internet ni slow balaa yani mfano mm nafanyaga voice chat mara nyingi via discord...
  8. Melki Wamatukio

    Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intaneti

    Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet ================= Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend? Umejiuliza kwa nini na kulaumu sana mtandao wako? Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na...
  9. Midevu

    Fiber ISP kwa Dodoma

    Habari zenu wakuu? Naomba kufahamu ISP wa fiber internet kwa Dodoma. Nafahamu TTCL pekee ila ningependa kufahamu options nyingine zilizopo.
  10. MK254

    Kenya Pipeline ventures into internet business, launches fibre optic cable

    The Kenya Pipeline Company (KPC) on Thursday launched its fibre optic cable that will run from the Mombasa port through Nairobi to Kisumu and Eldoret in western Kenya. The state corporation is conventionally mandated to transport petroleum products from the Mombasa port to the hinterlands in...
  11. buffalo44

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima. Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet. TTCL walinipa hii details. Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k. Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem. Nikaamua kucheki...
  12. sky soldier

    Fibre internet ina kasi, haina kikomo, bei chee, unawekewa bure. Wateja tupo, tunawaomba mpanue huduma zenu

    Kwa hii kasi ya mabadiliko ya vifurushi, tujipange isaikolojia, huenda tukaingia 2022 GB1 ikiwa inauzwa elf 2,500 sawa na petrol. Fibre internet ni internet inayoletwa kwako kwa njia ya waya na uutapewa bure vifaa vya kusambaza internet kwa njia ya wifi. Gharama zao zinaendana kwa speed na sio...
Back
Top Bottom