fedheha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Samia angekubali ushauri wa Lissu asingepata fedheha anayoipata leo

    Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms. Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili...
  2. T

    KERO Mwauwasa imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  3. Dennis Robert Shughuru

    Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  4. L

    Ni aibu kwa CHADEMA kushindwa kukusanya Tsh Millioni 100 kwa zaidi ya Mwezi wakati CCM inakusanya Billion 86 kwa usiku mmoja

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika, CCM imeonyesha umwamba wake. Imeonyesha namna ilivyo na watu, namna inavyopendwa, namna inavyokubalika, kuungwa mkono na kukaa mioyoni mwa watu. Ikumbukwe ya kuwa chama cha siasa ni watu. Na ili upate watu, ni lazima watu wawe na imani na chama kutokana na...
  5. Pendaelli

    Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa chama kuanza upya mchakato wa mgombea ni aibu na ishara ya kushindwa

    Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi. Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Ni aibu na fedheha kwa mama Salma Kikwete kuendelea kugombea ubunge.

    Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
  7. DuaZaMama

    Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

    Wakuu hii vita ni mbichi Kuna mambo mengi kwenye mpira wetu hawa yanga mbona kama wanajua mambo mengi kuhusu TFF? === Tumeona taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF kuwa inaidai Klabu ya Young Africans SC bila kutoa ufafanuzi wa deni lenyewe. Tunapenda kuujulisha Umma, kuwa...
  8. I

    Baadhi ya wanajeshi jiondoeni kwenye siasa msije kupata fedheha!

    Kiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa! Aibu yenu! https://twitter.com/EggleVuvu/status/1911627918297510122?t=DZmaso4Rq_BLUHV-3rc_vA&s=19
  9. Tlaatlaah

    Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
  10. Rorscharch

    Fedheha aliyopitia Zelensky Whitehouse imenifanya niwaze: Ingekuwaje Ghaddafi angeunganisha bara la Afrika Kisha Marekani ikatangaza vita na bara zima

    Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani? Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua jinsi Marekani ingetekeleza uvamizi wake kwa Afrika, hasa kwa kuzingatia Tanzania na Afrika...
  11. ELI COHEN

    Mufti Mkuu wa Saudi Arabia: Tulichokiona leo huko Gaza ni fedheha kwa Uislamu, kitendo cha kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa. SHAME ON YOU!!
  12. Rorscharch

    Afrika imeweka Rehani Afya kwa Wazungu: Sakata la USAID ni fedheha ya karne

    Katika mwaka wa 2023, Tanzania ilipokea dola milioni 512.8 kutoka Marekani kwa ajili ya sekta ya afya, ikiwa nchi iliyoongoza kupokea msaada mkubwa zaidi wa afya barani. Nigeria, taifa lenye uchumi mkubwa zaidi Afrika, ilifuata kwa karibu kwa kupokea dola milioni 512.1. Kwa jumla, misaada hii...
  13. The Burning Spear

    Je, CCM imebaliki Hayati Magufuli kuzalilishwa na kuleta fedheha kwa wanafamilia wake?

    Najua Chini ya uongozi dharimu wa CCM Raisi analindwa akiwa hai hadi kaburni. Sasa huu utaratibu wa kumsimanga hyati umeamzia wapi. Je, CCM inapata faída gani na haya yanayoandikwa au tuamini Kweli CCM huwa wanaua watu ikulu. My Big concern ni kwa wanafamilia ya Magufuli maana Naona Mzee...
  14. Rule L

    Hivi kuna fedheha kubwa kwa mwanaume kuzidi ya kushindwa kupiga show

    Hii habari nimekuwa nikiisikia tu, ila juzi kati imenitokea live bila chenga 😆 😆 😆 😆 😆 😆. Mnara ulikua kama upo ndani ya maji wazee, ile piss ikabidi tu inipe pole. na kuondoka zake Nilijisikia vibaya sana mazee.
  15. Mbwichichi

    Niliagiza chakula, ilivyokuja bili nusura nikimbie niwaache watoto. Umewahi kukumbana na fedheha hii?

    Nilienda kutembea Dar es Salaam kwa dada yangu wakati wa sherehe hizi za christimass. Basi tarehe 25/12 kama kawaida tulikwenda ibadani na kurudi nyumbani,kilichofuata ni maongezi tu ya kifamilia huku tukichoma nyama jioni na kunywa pombe pamoja na shemeji na marafiki zake. Tarehe 26/12...
  16. S

    Ni fedheha gani ulipitia kisa umasikini?

    Mimi kuna siku mgeni kaja kunitembelea, sina hata mia mbovu, ndani nina mchele na nje kuna matembele, nikaandaa mboga kwa ajili ya kupika na kubandika wali, basi bwana mgeni amefika tunasubiri msosi uive mara gesi ikaisha ndio kwanza maji yanaanza kukaukia , matembele yako kwenye maji, mgeni...
  17. Bulelaa

    Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

    Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia? Nani alitegemea haya kutokea? Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo? Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa...
  18. R

    Huko serikalini Kuna nini, ni fedheha mwalimu kusikia mtoto uliyemfundisha anakwiba Mali za umma!!

    Salaam, Shalom!! I declare interest, Mimi ni mwalimu wa watoto. Sasa Huwa tunakaa tunajiuliza, walimu Hasa tunakosea wapi? Tuseme kwamba labda Kuna watoto wengine hawapiti mikononi mwetu, hili Si Kweli, Mbona huku darasani tunawafundisha msiibe, tunawafundisha msizini, Kila mtu awe na mke...
  19. Erythrocyte

    Ni aibu na fedheha kubwa kwa Wana-CCM wa JF kutelekezwa huku Marehemu akiteuliwa!

    Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu! Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha...
  20. L

    Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
Back
Top Bottom