fedha

  1. JamiiForums Tanzania Walifungiwa app za mikopo walichokifanya ni kubadilisha majina ya hizo app na bado wanaendelea kufanya utapeli

    Habari wana JF. Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana. Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo. Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
  2. JamiiForums Tanzania Milipuko ya Magonjwa je kuna Upigaji na utakatishaji fedha ?

    Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie. Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
  3. JamiiForums Tanzania Je, hakuna Sheria inayoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi?

    Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM ilishusha bus ya Yutong karibu hamsini, wakati huo huo kunachama ata Ofisi hakina. JE hapa fairness...
  4. JamiiForums Tanzania DC Meatu: TAKUKURU inachunguza tuhuma za Watumishi waliochukua fedha za michango ya Wananchi kujenga Shule

    Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi. Kusoma zaidi hoja hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

    Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
  6. JamiiForums Tanzania Ukarabati wa Kituo cha Mabasi Bukoba kwa "Bilioni Moja ya Rais Samia" hakuna kinachoendelea, Je, Watumishi wamepiga dili tena?

    Mwaka 2023 kuna fedha Tsh Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kagera iliamuliwa na Serikali ya Mkoa kuwa zinatakiwa kutumika kukarabati Stendi ya Mabasi ya Bukoba, lakini hadi sasa mradi haujakamilika. Oktoba 2023, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa alisema fedha hizo...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Malipo ya fedha za kukodisha chopa wakati wa kampeni yaliyolipwa kwa Mbowe yalimduwaza Lissu!

    Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya gharama basi hakukuwa na namna!!!. Ukimsikiliza Lissu hapo ni kama vile hamwamini Mbowe na kuona ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mnaomtetea na kumsifia Rais Samia: Changamoto za wizi wa fedha za Miradi ya maendeleo Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati gani mtu anapaswa kuwa na mshauri binafsi wa fedha?

    Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri wai ulivyowawezesha kufikia malengo yao ya kifedha! Lakini kupitia baadhi ya vitabu nilivyovisoma...
  10. JamiiForums Tanzania Wakenya wanatuzidi fedha, akili au ubunifu?

    Kwa nini nauliza hayo? 1. Inasemekana, miaka ya nyuma, kabla ya Magufuli na hatimaye Samia kuingia madarakani, Wakenya walikuwa wanaingia Tanzania na kununua viazi mviringo na kuvipeleka Kenya. Vikifika huko, havipelekwi kwa Wakenya, bali husafishwa vizuri na kisha kuwekwa kwenye vifungashio...
  11. JamiiForums Tanzania Endapo kama chadema haina fedha kwa sasa hakuna ubaya uchaguzi wao ukahairishwa mpaka mwakani!

    Hii ni kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa chadema, tulimsikia akidai chadema kwa sasa haina fedha, hata za uchaguzi. -Hekima ni uhairishwe ili pia bwana mbowe anusurike 😁😁😁 #savembowe #helpmbowe #rescuembowe
  12. JamiiForums Tanzania Ahadi hewa zilizotolewa na Viongozi wa CCM kwa mwaka wa fedha 2024

    1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device Hapa tulipigwa changa na utapeli 2. Umeme kukatika mwisho ilikuwa October 2024 kama alivyoahidi Mzee Doto...
  13. JamiiForums Tanzania WIZARA YA FEDHA YA MAREKANI YADAI YA KUWA ILIDUKULIWA NA CHINA.

    Habari wakuu! Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta China. Inaripotiwa ya kuwa mdukuzi huyo aliweza kupitia nyaraka ambazo hazikuizinishwa na vituo vya kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yatoa ufafanuzi kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata Fedha za Kujikimu "Boom"

    Pia soma: ~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo ~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024. Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa cheque No ya Tuition Fee imepita wiki mbili (02) lakini hadi hivi sasa hatujawekewa Cheque No ya Boom...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kuna Wahindi wanazunguka mitaani na kutapeli fedha kwa njia ya ushirikina.

    Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete). Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye gari ndogo. Wamefanya matukio Goba na Tegeta. Chukua tahadhari.
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Changamoto ya usimamizi wa michango ya fedha za wanachuo, Chuo cha Mifugo Kikulula

    Chuo cha Mifugo Kikulula kimekuwa na tabia ya kupokea pesa za wanachuo kwa ajili ya bima ya afya lakini usimamizi wake una changamoto kubwa. Mara kadhaa msimamizi anayepewa hilo jukumu amekuwa akila hela za michango, hivyo kuleta usumbufu kwa wahitaji wanapotaka kupatiwa huduma za afya Vile...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aubrey Silayo mtumishi wa TRA anayefanya ulaghai kusaka ubunge Vunjo

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Urais mwaka 2025 joto kumeanza kuchangamka maeneo mbalimbali ya Nchi kwa watu wenye nia ya kujitosa kwenye udiwani au ubunge kuanza kupitapita. Moja kati ya maeneo yanayoshuhudia vikumbo vya wenye nia ya ubunge ni Jimbo la Vunjo ambako moja kati ya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

    Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma. Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa pesa za refund Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na tuition fees hii haikupelekea hiyo hela iliyozidi kutokana na uongezewaji wa Ada kipindi ambacho Sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…