Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu.
Tatizo la Malipo
Wengi wetu tumefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza kazi mwezi Januari 2025...
Anonymous
Thread
fedhafedhazakujikimu
hazina
katika
kujikimu
matumizi
singida
waalimu
Watumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya kujikimu 🙄.
Halmashauri ya Geita Vijijini ni mfano, hawalipi hela ya kujikimu, walimu ajira mpya...
Anonymous
Thread
ajira mpya
fedhazakujikimu
geita vijijini
halmashauri ya geita
walimu ajira mpya
Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini.
Kwa kweli tunapata shida sana.
Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedhafedhazakujikimukujikimu
lini
mpya
mtama
Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu.
Imekuwa kama mpira wa kona, hatuelewi kinachoendelea, kila kiongozi ukiuliza anasema hajui au hana jibu na kutuambia...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedhafedhazakujikimu
geita
kujikimu
machi
mpya
Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums.
Nyingine soma
~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedhazakujikimu
geita
geita vijijini
hela
kujikimu
march
mpaka
mpya
vijijini
walimu
watumishi wa umma
wilaya
wilaya ya geita
Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji.
Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
Anonymous
Thread
bado
bunda
fedhafedhazakujikimu
halmashauri
hawajalipwa
julai
kujikimu
kwanza
mji
mshahara
watumishi
Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya.
Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi wamelipwa Tsh. 150,000.
Asilimia kubwa tangu January na February ajira mpya bado hawajalipwa...
Tunaomba wahusika watoke hadharani wawaeleze Hawa vijana walioajiriwa kwenye hizi halmashauri iwapo fedha zao za kujikimu zilitengewa bajeti kabla ya kuajiriwa au inakuaje??
Maana vijana wengi wamekuwa watu wa kukopa bila kujua watapata lini stahiki zao,wanaishi kwenye mwanzo mgumu kiasi...
Ni jambo la kusikitisha kwamba tangu mwezi wa February hadi sasa, fedha za kujikimu kwa watumishi wapya hazijatolewa.
Kimya kimya, fedha hizi zimezuiwa, na kila jaribio la kufuatilia huambulia majibu mepesi tu kwamba subir subiri
Waliweka mazingira ya mtu kupata mshahara kwanza ili kuziba...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia rasilimali zilizopo mkoani humo, ikiwemo mifugo ya ng'ombe ili kujiinua kiuchumi.
Amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa.
Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
Anonymous
Thread
afya
fedhafedhazakujikimu
hali
halmashauri
kada
kada ya afya
kilosa
kujikimu
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..
Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna.
Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.