fatwa

  1. The Father of All

    Namshauri Ayatollah Khamenei Jr. atoe fatwa dhidi ya Netanyahu na Trump

    Kama wao wamesema watamsaka wamuue, kwanini naye asiwafanyie kama Ayatollah Khomeini did to Salman Rushdie? Jino kwa jino ili waonje ladha ya dawa yao waone utamu wake. Nimeudhika namna walivyoua mahululaini wa kiajemi. Poleni waamini na mnaongojea kufa na kupewa hao wadude. KKKKK. Naomba...
  2. M

    Fatwa za wanachuoni

    Faidika na fatwa mbalimbali za masheikh wakubwa wa Kisunni kama vile: Sheikh Al-Albani Sheikh Ibn Baaz Sheikh Ibn Uthaymiyn Sheikh Muqbil Sheikh Fawzan Fatwa hizi zipo katika mfumo wa video na zimewekewa maandiko ya Kiswahili (subtitles) ili kueleweka kwa urahisi zaidi. Tembelea kupitia...
  3. I

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'.

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'. Mufti Mkuu wa Misri Nazir Ayyad Jumatatu alisema "halikuwa jambo la kuwajibika" kwa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) kutoa fatwa ambayo ilisema "Waislamu wote wenye uwezo" wana wajibu wa kufanya...
  4. Buenos Aires

    Fat'wah toka kwa Maulamaa wa kiislamu

    Namuomba Allah S.W afanye wepesi kwa hili in shaa Allah! Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
  5. YinYang

    KWELI ISLM, Islamic Coin: Cryptocurrency ya kiislamu yaidhinishwa na Fatwa

    Miaka ya 2000s imekumba na mabadiliko mengi ya kiteknolojia ikiwemo uwepo wa safaru za kidigitali ambazo haiziwezi kudhibitiwa na mamlaka za serikali (Benki Kuu). Sarafu za kidigitali zinazotambulika hadi sasa ni pamoja na BitCoins na OneCoin. Sarafu nyingine ya Islamic Coin (ISLM) imeibuka...
  6. Chizi Maarifa

    Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?

    Kama Lugha ya Kiingereza ipo kwako na unaielewa. Msome SALMAN RUSHDIE KATIKA KITABU CHAKE CHA AYA ZA KISHETANI.
Back
Top Bottom