Wakuu,
Nimeona kampuni ya Safaricom wamekuja na mfumo mpya wa kuficha baadhi ya tarakimu kwenye namba za mtu anayetuma pesa, nadhani ni wazo zuri sana. Mfano, ukituma pesa, mpokeaji ataona namba kama 0754****00. Ikitokea ukitaka kujua namba nzima, wewe mpokeaji utalazimika kufoward huo muamala...