familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Familia ya Sauli yaeleza miradi watakavyoisimamia, watoto watakavyoishi

    Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila imesema kumpoteza mpendwa wao huenda baadhi ya miradi ikayumba hususan ya mabasi huku ikisisitiza imejipanga kusimamia vyema migodi ya dhahabu ili kuwasaidia watoto wake. Mwalabhila maarufu kwa jina la Sauli...
  2. Asije akakudanganya Mtu au ukajidanganya, familia ndîo Jambo namba moja

    ASIJE AKAKUDANGANYA MTU AU UKAJIDANGANYA, FAMILIA NDÎO JAMBO NAMBA MOJA. Na, Robert Heriel Mtibeli Najua kûna Watu husema na kuniambia "kîla Siku Unazungumzia mambo ya mahusiano na familia, mapenzi this, family that. Huna Jambo jingine?" Kwa kweli ninayomengi ya kusema ila Moja ya Makubwa...
  3. Je, ni sahihi kwa kijana kujitolea maisha yake kwa ajili ya familia, au kuna njia nyingine bora za kusaidia bila kuhatarisha uhai?

    Kijiji cha Nyansato, kipo katikati ya Tanzania, ni kijiji kinachojulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, lakini ndani yake kuna hadithi ya huzuni na mateso. Hii ni hadithi ya kijana aitwaye Daudi, mwenye umri wa miaka kumi na saba, ambaye alikuwa na ndoto kubwa ya kuokoa familia yake kutoka...
  4. 🇮🇱 Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotric

    Wanaukumbi. Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora lililoanguka kutoka Iron Dome liliua raia. Baada shambulio Serikali ya Israel walitoa tamko kwa...
  5. Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

    Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote. Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
  6. Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

    Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia; Awe na umri kuanzia 22-28 Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na kazi halali ya kufanya Asiwe mweusi sana, akiwa mweupe fresh Asiwe mfupi sana kama ni mrefu hapo sawa. Sifa zangu Sina mke wala mtoto Ni...
  7. Nikija kuwa na familia kuna vitu sintoruhusu

    Moja ni kuwaalika ndugu zangu nyumbani kwangu ambapo watoto wangu wanaishi na sio ndugu zangu tu hata ndugu wa mume. Kingine marafiki , wachungaji ,mazoea sitaki. Majirani wote siwataki kabisaa . Na mawatu tu ambao hawajui kwanini wanakuja . Kwangu pawe kwangu tu hawa watu hawana wema ni...
  8. Familia yenye 5 generations wote wapo hai.. kila mtu na mama yake. Bibi wa bibi unamwona yupo hai

    Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
  9. Familia ya mpenzi wangu hawataki kunielewa

    Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani. Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu...
  10. C

    Naingia kwenye familia ya JF. Hodi wenyeji

    Habari Wana JF, Mimi ni mgeni,naomba ushirikiano wenu na maoni yenu #JF hatutoki
  11. Mtu akikutishia kukuua wewe na familia yako unatakiwa kufanyaje?

    Habari wakuu. Kuna mtu tumezinguana tu sisi wenyewe kitaa..sasa naona yeye ameenda extra mile kanitumia ujumbe whatsapp ananitishia kuwa ataniua mimi na familia yangu wote. Je nichukue hatua gani wakuu?
  12. L

    Chadema acheni ubaguzi, Lissu anachangisha hela apate gari hamhamasishani, dogo kafungwa kule Mbeya familia ya Mbowe inachangisha

    Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya. Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
  13. Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

    Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
  14. Familia inayomuweka Marehemu kwenye Sanduku/Jeneza la kuanzia laki 3 kwenda Juu,hiyo Familia itakuwa na matatizo ya kiakili

    Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya! Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
  15. SoC04 Kuimarisha familia kama taasisi ya malezi katika zama zenye ongezeko la makanisa na matumizi ya teknolojia katika huduma

    Familia na dini zimekuwa zikiaminika kama taasisi muhimu katika hatua za awali za malezi na makuzi ya watoto wadogo na hata vijana wa rika balehe kwa kuwapa mafunzo na miongozo inyowajenga kiimani, kiakili na kiroho. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi kufikia 2024 katika nchi ya Tanzania kumekuwa...
  16. T

    Jinsi unavyowatendea familia na wapendwa wako na namna unavyofanya kazi vinategemea na malezi uliyopitia

    Hili halina ubishi, kama umelelewa kwenye familia ya baba anayejali familia, mama anayejali familia, Familia iiliyo na hofu ya Mungu, Familia yenye wazazi hard workers , wanaoamini kwenye kufanya kazi kwa bidii ili kuendelea kuna uwezekanao mkubwa na wewe ukaiga mwenendo huo ingawa kuna...
  17. Dada na Mama zangu, angalieni mitandao ya kijamii isiwafanye mkasahau familia zenu

    Kina Dada zangu na Mama zangu Acheni kushughulika na Mitandao ya Kijamii aka Facebook,TikTok, istagram, Youtube na mengine. Wakati Mume wako anakuwepo nyumbani.Muhudumie Waume zenu kwa kila kitu acha kumtegemea Dada wa kazi aka (House Girl) atawaharibia ndoa zenu shauri zenu.
  18. Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  19. Familia yangu huiambii chochote kuhusu kituo cha runinga cha Cheka Plus

    Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media Cheka Plus inakuja kwa kasi...
  20. Mwili wa aliyefia Mlima Everest utaachwa huko, familia yaamua

    Familia ya Mpanda Mlima kutoka Kenya, Joshua Cheruiyot Kirui, ambaye alifariki dunia akipanda Mlima Everest Mei 22, imesema Mwili huo utaachwa alikofia kutokana na gharama na hatari zinazohusishwa na mchakato wa kuurejesha mwili Cheruiyot alianguka kwenye ufa umbali wa mita 48 kutoka kileleni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…