fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Bei za Viingilio Real Madrid vs Bayern UEFA Nusu Fainali

    1st leg, ALIANZ ARENA STADIUM Mzunguko €19= Tsh 52,744 VIP € 160= Tsh 416,400 2nd leg, ESTADIO SANTIAGO BERNABEU Mzunguko € 125 = Tsh 347,000 V.I.P € 445 = Tsh 1,235,320
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji ni nani? Alifunga goli hili katika Fainali dhidi ya Barcelona

    Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika kwa Madria kushinda magoli 2-1. Umemtambua mchezaji husika ambaye mikimbio yake alikimbia akatoka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe Yakalishwa 3 - 0 , Al ahly Yatinga Fainali

    TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika. Katika mchezo Wa mkondo Wa Kwanza Timu hizo zilitoshana nguvu Kwa Kutoka Suluhu na hivyo kudhihirika kuwa Al ahly ndio...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Azam yaifuata simba fainali muungano

    USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Azam imepata ushindi huo kupitia mabao ya Abdul Sopu dakika ya 7 na 42, huku wafungaji wengine wakiwa ni Nathaniel...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United yaingia Fainali ya FA kwa matuta 4-2

    Licha ya Manchester United kuongoza kwa magoli 3-0 hadi dakika ya 70 dhidi ya Timu ya Coventry City inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) lakini hadi dakika ya 90 zinakamilika matokeo yalikuwa sare ya magoli 3-3. Baada ya kuongeza dakika 30 za nyongeza katika Nusu Fainali hiyo ya...
  6. Revolution

    JamiiForums Tanzania Nitawahadithia watoto wangu na wajukuu kuwa Yanga ilifika hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa Mamelod Sundowns lakini ikafanyiwa hila

    Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: UCL Mechi za Robo Fainali | Arsenal 2-2 Bayern Munich, Real Madrid 3-3 Man City | 09/04/2024

    Muda mchache ujao kutapigwa mechi za robo fainali katika Uefa Champions League. Arsenal Vs Bayern Munich Real Madrid Vs Man City Karata yako unatupia kwa nani?
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka sasa ratiba ya nusu fainali ya CAFCL haijatoka?

    Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi. Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa ivo sasa tunaweza kuanza kulinganisha nani kafika mara nyingi robo fainali?

    Waliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika. Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo fainali za mashindano yote ya CAF. Asitokee mtu akasema kufika robo fainali ni hatua ndogo.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimezidi kuumia baada ya kuona Mamelodi amepangwa na Esperance nusu fainali. Yanga ilikuwa inaenda fainali, hata kushinda kombe

    Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance. Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi. Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha wa Simba kutimuliwa kwa kushindwa kutikia malengo ya kuipeleka simba nusu fainali

    Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani. Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
  12. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

    #Tuko Pamoja na Nyinyi Mpaka FIFA
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya timu kubwa k ama Mamelodi ni Bora wajitoe hatua ya nusu fainali waliyoingia

    Hii italinda heshima ya soka bora walilonao.Italinda heshima ya timu na wachezaji kwa ujumla.Viongozi wao wakae chini wafikirie mara mbili. Timu yao ni kubwa sana ni bora wajitoe kulinda sifa waliyonayo pamoja na wachezaji wao wakubwa wa dunia walionao.Wasiangalie njaa ya leo wakajivunjia...
  14. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

    Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

    Motsepe ametia aibu soka la Afrika. Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed. Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal" Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema...
  16. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Nani kufuzu nusu fainali leo kati ya Wananchi na Wenyenchi?

    Mtaniii, Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa. Simba wapo Misri kumenyana na Al Ahly wakitafuta kupindua meza baada ya kupoteza mchezo wa nyumbani kwa bao 1-0! Yanga wapo...
  17. Mshenyentaji

    JamiiForums Tanzania Faida za Yanga na Simba kuingia nusu fainali

    Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54 Hiyo ni regardless kama Es Tunis atafuzu b) Hivyo hata msimu ujao wa kwenye upangaji wa makundi atapanda Toka pot 3 kwenda pot 2...
  18. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo, Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni Simba Mamelody Esperance Tp mazembe Je, atafanikiwa.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni timu gani imeonesha udhaifu kwenye hatua ya robo fainali mashindano ya CAF champion league mwaka huu?

    Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali. Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa mchezo dk ya 5 TU ikamaliza mchezo. Hii ni dharau kwenye soka letu haiwezekani timu itoke mbali huko...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mamelodi hana maajabu lazima atolewe, Yanga anaenda nusu fainali kwa kishindo ijumaa ijayo

    kila msimu mamelodi huwa anatolewaga kwenye hizi hatua za mtoano. hizi ndio records zake mfululizo zamu ya yanga kumtoa imeshafika
Back
Top Bottom