Ethiopia inajenga bwawa kubwa linalojulikana kama Renaissance, ujenzi huo unatarajiwa kumalizika mwakani
Bwawa kubwa la 'Renaissance' ni kivutio kikubwa nchini Ethiopia
Bwawa hilo linalojengwa Ethiopia linatarajiwa kuwa kituo kikubwa zaidi cha kuzalisha umeme barani Afrika.
Ujenzi huo...