Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani kufanyika nchini Tanzania, mgombea ubunge wa Bunda Mjini mkoani Mara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Esther Bulaya ameendelea na kampeni zake licha ya mvua kunyesha.
Bulaya akiwa kwenye mkutano wa kampeni...