ester bulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Ester Bulaya: Samia, ni Rais ambaye anasema, anatekeleza

    Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini (CCM), Ester Bulaya, kwenye Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza Januari 27, 2026, amepongeza juhudi na dhamira kubwa ya Rais Samia katika kujenga Taifa. === Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama...
  2. McLaren

    PostGE2025 Ester Bulaya: Kama Rais wa nchi ametangaza maridhiano, huyo anayekataa ana jambo lake

    Nimewaza tu kwamba kulikuwa na kipindi ambacho huyu ndo alikuwa ni moja kati ya think tanks ya CHADEMA Kama Mbaga Jr anavyopendaga kusema, inasikitisha sana ------------------- Mbunge wa Bunda Mjini mkoani Mara, Ester Bulaya, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu kilichotokea...
  3. M

    Tetesi hizi: Ester Bulaya yupo wapi?

    Taarifa kuhusu yeye si nzuri sana
  4. DuaZaMama

    GE2025 Ester Bulaya aingia kwa Boda Boda kampeni mtaa kwa mtaa

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Ester Bulaya ameendelea kampeni za Mtaa kwa Mtaa akiomba kura Jimboni humo ambapo leo Mtaa wa Kiwasi Kata ya Waliku akivamia kata hiyo kwa Boda boda.
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ester Bulaya ateuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa kimemteua Ester Bulaya kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara. Soma Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini Hayo yamesemwa na Katibu wa...
  6. PAYE

    GE2025 Bulaya, Esther Mathiko washindwa kung'ara kura za maoni

    Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya na Esther Mathiko, wameshindwa kuongoza katika kura maoni baada ya Wabunge wanaotetea nafasi zao Michael Kembaki wa Jimbo la Tarime Mjini na Robert...
  7. JanguKamaJangu

    GE2025 Ester Bulaya wa 2023 na Ester Bulaya wa 2025 wakikutana kinanuka

    Kauli ya Ester Bulaya aliyoitoa Juni 11, 2023 alipohojiwa na Stanslaus Lambart kuhusu mustakabali wao (yeye na Wabunge wenzake 19) waliokuwa na Mgogoro na Viongozi wao ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Video ya pili ni Bulaya baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo...
  8. M

    KUMBUKIZI: Usaliti na Uongo huwa unaumbua sana. Ester Bulaya akikana maneno yake mwenyewe

  9. DuaZaMama

    Huyu hapa Ester Bulaya wa Mwaka 2023

    Wakuu ==== Kama ni kweli Dhambi itakuwa ndio hukumu ya Mwisho ya binadamu basi wanasiasa wengi wataangamia,ukimsikiliza Bulaya wa Mwaka 2023 na Bulaya 2025 utafikiri ni watu Wawili tofauti. Tuogope teknolojia na Mungu Maoni yangu Bulaya hawezi kushinda ubunge nimekaa pale
  10. ngara23

    Urafiki wa damu wa Esta Bulaya na Halima Mdee

    Hawa mabinti ni marafiki hawana Iko hivi 1. Halima alikuwa chadema inasemekana akamshawishi Esta aliyekuwa CCM naye akahamia chadema 2 Safari ya kuitwa COVID 19 Ndugai alivotaka uwakilishi wa wanawake wa chadema hawakuachana, walikuwa wote kwenye genge la COVID 19 3 Kuhamia CCM tena Leo...
  11. Waufukweni

    GE2025 Ester Bulaya: Nilikuwa CHADEMA kwa mkopo, nimerejea nyumbani CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM. Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia...
  12. G

    Nilipoona barabara ya kuelekea kwenye nyumba za Halima Ndege na Ester Bulaya inaanza kujengwa kuwa ya kisasa, jibu nikawa nalo

    Barabara hiyo ilikuwa mbovu, kama zilivyo nyingi maeneo ya Mbweni Mpiji. Siku za karibuni imeanza kujengwa kwa kasi ya ajabu huku nyingine zikiendelea kubaki kama zilivyo. Sasa wenye akili za asili, sio AI, tumeshapata majibu. Tuendelee kuchukua fomu.
  13. Waufukweni

    GE2025 Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM. Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo. Aliyekuwa Mbunge wa viti Maalum Esther...
  14. Waufukweni

    Mbunge ambana Waziri Dabi ya Kariakoo Bungeni

    "...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
  15. W

    PreGE2025 Bulaya asema CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo kwa ajili ya CHADEMA tu

    "Kwahiyo CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo tu kwa CHADEMA kushinda, reform za uchaguzi zitamuingiza yeyote yule aliyechaguliwa kwa kura za wananchi". Esther Bulaya, Mbunge wa viti malum Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  16. W

    PreGE2025 Ester Bulaya: Hakuna chama chenye ukomo kwa nafasi ya Mwenyekiti

    "Hakuna chama ambacho nafasi ya mwenyekiti ina ukomo, tofauti yetu sisi na CCM, wao wamejiwekea kwa sababu Mwenyekiti wao ndiye mgombea. Wao wameunganisha nafasi ya chama kwenye nafasi ya nchi" Esther Bulaya, Mbunge viti maalum Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  17. W

    PreGE2025 Bulaya: CCM hawajasema kama wananitaka, Sijaona CHADEMA ikinikataa kuwa mwanachama wao

    Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM hawajamwambia bado kama wanamtaka na muda pia bado. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
  18. W

    PreGE2025 Bulaya: Sikughushi nyaraka za kuingia bungeni na nilifuata taratibu zote ndani ya chama

    Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

    Wakuu Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Back
Top Bottom