Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake
Mtu anataaluma ya habari, lakini hawezi kuhoji Kwa kingereza lakin huyu mtu ana...