Kwema Wajumbe 😁
Husika na Kichwa Cha Habari,
Nina Land Cruiser GX 105 yenye engine ya 1HZ ipo poa nzima kabisa haina tatzo lolote ila nataka kufanya an upgrade niweke engine ya 1HD FT then ni install intercooler ili gari iwe more strong and efficient.
Hvyo natafuta used 1HD FT engine ya hapa...