elimu

  1. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani

    Utangulizi Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
  2. JamiiForums Tanzania TEARS VIDEO: Hii Inaweza Kukupa Taswira kwa Nini Watanzania Mnanyimwa Elimu

    Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako. Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
  3. JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) inaangamiza watumishi wa umma

    Salaam! Ni jumanne iliyo njema sana. Moja Kwa moja kwenye mada. Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa elimu Tanzania na athari zake kwa vijana

    Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa kwanini inachukua muda mrefu sana. Elimu ya darasa la 1-7 inachukua miaka 7 mwanafunzi huanza akiwah...
  5. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo; elimu yetu, maisha yetu

    Elimu ni kurithisha au kuhamisha maarifa, ujuzi, taarifa au taaluma kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Malengo ya elimu katika nchi yetu ya Tanzania kuanzia 2025 adi 2050 yawe ni i. Kurithisha au kutoa maarifa na ujuzi kwa vijana yatakayoweza kuwakwamua katika lindi la umaskini na waweze...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya form six bado inapewa kipaumbele na Serikali

    Kwa kuthibitisha kuwa elimu ya kidato cha sita bado inapewa kipaumbele Serikali imetoa tangazo la ajira za mawakili na makatibu wa sheria ila kwa wale walio na vyeti vya form six. Soma tangazo kwenye attachment yangu.
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Maono ya kibunifu kwa miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo

    TANZANIA TUITAKAYO: MAONO YA KIBUNIFU KWA MIAKA 5, 10, 15 HADI 25 IJAYO Utangulizi Tanzania, taifa lenye rasilimali nyingi na watu wenye ari ya maendeleo, linahitaji kuwa na maono ya kibunifu na mikakati madhubuti ili kufikia maendeleo endelevu. Katika kipindi cha miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu salama

    Jina la Andiko: Kuimarisha Upatikanaji wa Elimu kwa Wanafunzi Wanaoishi Mbali na Shule: Hatua za Kusaidia na Kupunguza Athari za Usafiri wa Jumuiya Elimu ni moja ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa. Hata hivyo, Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya elimu, mojawapo ikiwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu ya utengenezaji wa application za simu za android part 2

    Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic . Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa kuunda na kuboresha programu za simu za android. Application za simu za android zinaweza kuundwa na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

    TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira. au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema. mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala. kwa sababu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Tume ya Madini yatoa elimu ya fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini kwenye migodi ya madini

    Tume ya Madini inaendelea kutoa Elimu kwa Wadau wa madini na Wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Dodoma kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma. Elimu inatolewa katika...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri viwekwe vigezo vya elimu, viti maalumu n.k Muda wa kuchangia usifanane kwa wabunge wote. Nilitamani Dr. Kimei aongezewe muda.

    Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu. Hatusitahili kuchuka kila kitu...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Wenye elimu ya msingi wasigombee nafasi za Ubunge

    Dibaji. Maisha ya Tanzania kwa miaka 30 nyuma hayalingani hata kidogo na maisha ya sasa katika kila eneo, iwe kimazingira, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia, mitindo ya maisha na kilakitu.Na hii ni kwa dunia nzima, ndio maana kuna kitu kinaitwa historia, tafsiri yake ni kwamba maisha hubadilika...
  15. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya elimu inaitaji marekebisho makumbwa

    1 elimu tulio nayo atuna uhitaji nayo kwa sasa. tuzalishe watoto wenye ujuzi mbali mbali wasome Toka darasa la 5 2 tupuguze muda wa kukaa darasani muda mwingi wa kusoma unafanya elimu isiwe na msaada tena unakuja kuanza kazi unamajukumu mengi umri pay umesha kuacha 3 mtoto anapo fika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mipango Ya Kipekee Ya Kuboresha Elimu

    Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vizazi vijavyo kwa mafanikio na ustawi wa taifa. Hapa, tunaangazia mawazo bunifu yanayoweza kutekelezwa katika kipindi cha miaka 5-25 ijayo, kwa kuzingatia mifano dhahiri ya nchi zilizofanikiwa...
  17. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  19. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa elimu kuhusu magonjwa ya zinaa katika jamii

    Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ya kujiamini na kujiajiri

    TANZANIA TUITAKAYO. SEKTA YA ELIMU. Katika sekta ya elimu serikali ya Tanzania ina fanya jitihada katika kuiboresha sekta hii muhimu ya kadri siku zinavyo zidi kwenda mfano; kwa kutoa elimu bure ngazi ya msingi hadi sekondari kuongeza madarasa kwa sehemu zenye uhitaji mjini kwa vijijini,vifaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…