elimu ya fedha

  1. JamiiForums Tanzania Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako

    Makala ya tatu Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako. Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;- • Akiba • Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi • Mikopo kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Elimu ya fedha ambayo BoT wanapaswa kuifahamu

    CASH IS NOT THE KING Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Uhuru wa kifedha makala ya tatu

    Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako. Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;- • Akiba • Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi • Mikopo kutoka taasisi za...
  4. JamiiForums Tanzania Linda kipato chako kwa kujifunza elimu ya fedha

    Kulinda uchumi wako si mpaka uwe na degree ya uchumi kutoka Stanford University hapana. Kinachotakiwa ni nidhamu ya fedha na kujifunza zaidi kuhusu fedha. Elimu ya fedha ni elimu muhimu sana kwa ustawi wa maisha yetu ya kila siku. Usichoke kujifunza kuhusu fedha ukiwa bado unahitaji fedha.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ifahamu miti ya mastafeli (mastakafeli) na mitopetope

    Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu. Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. Tuchambue pamoja...
  6. JamiiForums Tanzania Uwekezaji - Sehemu ya kwanza

    UTAMBULISHO KUHUSU UWEKEZAJI Uwekezaji ni operesheni ambayo baada ya uchambuzi wa kina inaahidi kulinda mtaji pamoja kuleta marejesho (ya kifedha) kutoka kwenye mtaji huo. Maneno ya kuzingatia hapa ni “uchambuzi wa kina” “kulinda mtaji” na “marejesho”. Bila vitu hivi vitatu basi operesheni...
  7. JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma. Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana. Asanteni...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo Haya Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Fedha Ndiyo Yanakufanya Uendelee Kuwa Masikini.

    Rafiki yangu mpendwa, Tangu tunazaliwa mpaka tunakuwa watu wazima, kuna vitu vingi sana ambavyo tunafundishwa kwenye familia, kwenye jamii, shuleni na hata kwenye kazi au biashara. Tunafundishwa jinsi ya kwenda vizuri na watu wengine, jinsi ya kufanya kazi au biashara zetu na umuhimu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…