elie mpanzu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Elie Mpanzu asaini mkataba mpya wa miaka miwili Simba

    Klabu ya Simba imemuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wake Elie Mpanzu ambao utafikia tamati msimu wa 2026/2027. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Simba leo, Jumatatu Machi 23, 2026 Mpanzu amesaini mkataba huo mbele ya Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewji na Mkurugenzi...
  2. GENTAMYCINE

    Mchambuzi Uchwara na mwana Yanga SC lia lia Hans Rafael uliwaaminisha Watu kuwa Elie Mpanzu iwe isiwe anaenda Yanga SC, mbona yuko Simba SC bado?

    Yaani kununuliwa tu hiyo Laptop na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ndiyo umeamua sasa kuwa Mnazi na Mtu wa Hovyo hapo Crown FM?
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Hatimaye Elie Mpanzu aomba kuachana na Simba, asema amepata timu

    Mchezaji tishio wa club ya Simba Elie Mpanzu ameiandikia club hiyo kuomba kuachana nayo baada ya kupata timu nyingine. Ameikumbusha club hiyo makubaliano ilikuwa ni kusajiliwa kwa mwaka 1 kwa milioni 330 na ikitokea offer kubwa kwenye timu nyingine basi mchezaji atailipa Simba milioni 330 hata...
  4. GENTAMYCINE

    Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    Sasa ni rasmi: Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Dar es Salaam Young Africans

    Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
  6. Minjingu Jingu

    Video: Sakata la Elie Mpanzu lachukua sura Mpya. Ayaibua mengi mazito

    Hili limechafua hali ya hewa
  7. U

    Nimetumia Akili Mnemba (AI Age detection by face) Kujua umri halisi wa Elie Mpanzu

    Kama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa Simba Elie mpanzu kibisawala. Akili mnemba hiyo imeweza kunionesha umri halisi ama makadirio ya umri...
  8. H

    Kuhusu Elie Mpanzu na Simba

    Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC. Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita...
  9. Minjingu Jingu

    Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
  10. U

    Kwanini Max Mpia Nzengeli ni Bora kuliko Elie Mpanzu Kibisawala

    Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale anaonekana anafanya vizuri kuliko mkimbiaji na dribbler Kibisawala kwasababu ukitoa dribbling kwa...
  11. mdukuzi

    Kama Elie Mpanzu amefeli kupata timu ulaya, Clement Mzize asijidanganye, labda bahati imbebe

    Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa. Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL...
  12. S

    Kama Joshua Mutale amegeuzwa joka la kibisa namna ile basi tujiandae hivyo hivyo kwa Elie Mpanzu

    Joshua Mutale ni moja ya mawinga hatari sana hapa Africa, ni kiungo wa pembeni sio wa kawaida, ana uwezo wa kupiga chenga, anao uwezo wa kufunga mabao katika mazingira yoyote, anaweza kucheza pia kama kiungo wa kati. Joshua Mutale ni kiungo msumbufu sana, anaweza kufanana na Steven Mapunda...
  13. Kipenzi Changu

    Kuhusu Elie Mpanzu kucheza mechi za Ligi ya Shirikisho

    Kumekuwa na maelezo mengi kuhusu nafasi ya Mpanzu kuanza kukipiga mechi zinazofuata. Wengine wanasema anachosubiri ni mechi za Ligi ya NBC tu lakini mechi za Shirikisho kila tayari. Wengine wanasema hata mechi za shirikisho itabidi asubiri mpaka asajiliwe na TFF kwanza wakati wa dirisha dogo...
  14. Waufukweni

    Elie Mpanzu aongeza mzuka, acheza mechi ya kirafiki Simba SC dhidi ya KMC, vitu vyake vyawavutia wengi

    Simba SC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa leo KMC Complex, bao la Simba limefungwa na Kelvin Kijili wakati la KMC likifungwa na Pascal. Fadlu kabla ya mechi dhidi ya Pamba Jiji, Novemba 22 aliomba michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC FC na Azam FC...
  15. Waufukweni

    Simba SC yazidi kuimarisha kikosi chake na yamtangaza Elie Mpanzu

    Vigogo wa Tanzania, Simba SC wamethibitisha kumsajili Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili akitokea As Vita Club. Mpanzu anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League mapema mwakani. Hata hivyo, winga huyo huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kinachoshiriki...
  16. Waufukweni

    Tetesi: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu

    Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa ajili ya majaribio lakini hakufanikiwa na kurudi kwao Congo. Taarifa mpya ni kwamba Mpanzu...
  17. Metronidazole 400mg

    Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

    Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili...
  18. Vichekesho

    Confirmed: Benchi la Ufundi la Yanga halimhitaji Elie Mpanzu

    Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na...
  19. Vichekesho

    Tetesi: Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii

    Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium. Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na...
  20. S

    Dili la Elie Mpanzu kujiunga Simba lipo hivi

    “Tofauti ya Simba na Yanga ni kuwa Yanga wanapotaka Mchezaji unawasiliana na Mtu mmoja tu ila Simba watu ni wengi sana kwa dili moja, mara Salim, mara Mulamu mara Magori na pia walikuja kwa kuchelewa sana kuhusu kumtaka Mchezaji wangu Ellie Mpanzu, hata hivyo hawezi kwenda Simba anaenda Ulaya...
Back
Top Bottom