Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichoko Ubungo Dar es Salaam, ambacho kinatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa moja, na zisizo rasmi takribani 5,000
Katika uzinduzi huo uliofanyika leo Rais Samia amesema: "Kituo...
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
https://www.youtube.com/live/khT-HcF4C3w
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (East African Commercial and Logistics Centre – EACLC) kinachopatikana eneo la Ubungo, kwenye stendi ya zamani ya mabasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.