dse

Deep Space Expedition Alpha (DSE-Alpha), is the name given to the mission proposed in 2005 to take the first space tourists to fly around the Moon. The mission is organized by Space Adventures Ltd., a commercial spaceflight company. The plans involve a modified Soyuz capsule docking with a booster rocket in Earth orbit which then sends the spacecraft on a free return circumlunar trajectory that circles around the Moon once. While the price was originally announced in August 2005 to cost US$100 million per seat, Space Adventures founder Eric Anderson announced in January 2011 that one of the two available seats had been sold for $150 million.

View More On Wikipedia.org
  1. RMK Freelancers Agency

    Kwanini ununue hisa za DSE plc(Dar es Salaam stock exchange)

    Watu wengi wakisikia “DSE” wanafikiria ni sehemu ya kununua hisa tu. Lakini wachache wanaelewa kuwa DSE yenyewe ni biashara inayouza huduma za soko la mitaji. Huu ni uchambuzi wangu unaolenga kutoa insights za DSE plc shares. Ukiniuliza kama ni sawa kununua hisa za DSE? Nitakujibu ndio, kwa...
  2. Gotze Giyani

    Kukua kwa DSE pamoja na ununuzi wa hisa za CRDB aka Tembo

    Wadau habari za mida, Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe. Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo...
  3. A

    KERO Mifumo ya kidigitali ya DSE inaongeza vikwazo kwa wawekezaji badala ya kupunguza

    Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization. Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
  4. Planet Data bundles

    Kwanini app ya DSE inasumbua sana?

    Hii app inasumbua sana sijui imetengenezwaje -time out -server error -failed to connect to server Unaweza useme kunashida ya internet lakini si kweli app n shida hasa kwen kurefressh na kulog in
  5. S

    Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuenea kwa elimu ya fedha, kwa sasa Watanzania wengi wamehamasika kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). Cha kusikitisha ni kuwa wawekezaji wanakwama kwa stockbrokers ambao ndio wanahusika kumnunulia au kumuuzia hisa...
  6. Planet Data bundles

    Wakuu nini maana ya hii kitu kwenye DSE

    Naomba tafsiri ya hiyo picha. Kwene DSE Lini unaweza toa hela?? Je kama hisa zinashuka unaweza ziuza ili usipate hasara?? Ukiuza hisa ulizo hold inachukua muda gan kupata hela yako?? Je kuna ufanano kati ya liquid acc ya utt na Hisa za DsE kwene mfumo wa kutoa hela? Maana utt siku tatu za kazi...
  7. Tuo Tuo

    Nipeni shule ya DSE (Dar es salaam Stock Exchange)

    Kwa muda mrefu nimekua nikitamani kua na hisa kwene makampuni tofauti tofauti kama voda,crdb na nmb sasa nimeona hii DSE,,,, maswali je kununua na kuuza kupitia DSE ni sawa tu na ningeenda manual kuwekeza crdb?? au n tofauti Je DSE ukinunua hisa inachukua muda kuonekana kwene acc yako...
  8. F

    Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE – msaada tafadhali

    Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu. Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana: Nikipiga...
  9. 888I

    UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  10. Smart Finance

    Dondoo muhimu juu ya soko la hisa DSE

    Imeandaliwa na Smart Finance SW 📚 Uwekezaji katika soko la hisa una faida kubwa na hatari kubwa lakini pia ni njia yenye uwezo mkubwa wa kukuza mtaji kwa muda mrefu. Kwa mtu asiye na uzoefu na maarifa ya kutosha ni vyema kuwasiliana na wataalamu wakusaidie na anza kujifunza taratibu taratibu...
  11. Z

    Benki kuu nao waje na app yao ya bonds kiganjani au waiwezeshe app ya DSE hisa kiganjani, ili watu waweze kununua na kuuza bonds za BoT

    Kitu kizuri ambacho kimesaidia kidogo self employment na kupunguza makali ya ukosefu wa ajira, ni the introduction of app ya DSE hisa kiganjani, hii imerahisisha kununua na kuuza hisa za DSE listed companies. Benki kuu nao waje na app yao ya bonds kiganjani au waiwezeshe app ya DSE hisa...
  12. Godfrey- denis

    Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji. 📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
  13. N

    MIXX BY YAS, DSE waja na mini app ya hisa kiganjani

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas Bi. Angelica Pesha akizungumza wakati wa hafla ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Mixx by Yas na DSE ambapo pia walizindua mini App ya DSE 'Hisa Kiganjani' inayopatikana kwenye super App ya Mixx by Yas. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE Bw. Peter...
  14. U

    Wachaga ni moja ya wanaoongoza uwekezaji DSE na UTT, T Bond

    Habari za Jua kali Wakazi wa Duaniani. Kuna mahala nimesikia habari ya kwamba, Katika Tasnia ya Uwekezaji hasa katika passive income ,inayowekezwa Kwa kununua Hisa, Vipande au ,Bond watanzania wengi bado wapo nyuma sana, na ni Jamii moja tu ya Wachaga ambayo ndo Inaonekana ikifanya Vizuri...
  15. Tabutupu

    Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

    Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri. Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa...
  16. Powell Gonzalez

    Nina swali kuhusu DSE( Dar es Salaam stock exchange)

    Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE. Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers. Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi ya taarifa ambazo (kutokana na kutokuwa makini) nilizipoteza. Nikajaribu kuforget password system...
  17. Masokotz

    Fahamu kuhusu Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)

    Habari za wakati huu, NI matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na kudumu katika ujenzi wa taifa lenu.Kama ilivyo ada leo nimeona nilete mjadala kuhusu soko la HISA la Dar es Salaam.Msingi wa majada huu unatokana na ukweli kwamba uchangamfu wa Soko letu la HISA na mchango wake katika UCHUMI...
  18. hery_edson

    List ya Matajiri 10 katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) mpaka Juni 26, 2023

    Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023. The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the...
Back
Top Bottom