dorothy

Dorothy Mary Crowfoot Hodgkin (12 May 1910 – 29 July 1994) was a Nobel Prize-winning British chemist who advanced the technique of X-ray crystallography to determine the structure of biomolecules, which became an essential tool in structural biology.Among her most influential discoveries are the confirmation of the structure of penicillin as previously surmised by Edward Abraham and Ernst Boris Chain; and the structure of vitamin B12, for which in 1964 she became the third woman to win the Nobel Prize in Chemistry. Hodgkin also elucidated the structure of insulin in 1969 after 35 years of work.Hodgkin used the name "Dorothy Crowfoot" until twelve years after marrying Thomas Lionel Hodgkin, when she began using "Dorothy Crowfoot Hodgkin". For simplicity's sake, Hodgkin is referred to as "Dorothy Hodgkin" by the Royal Society (when referring to its sponsorship of the Dorothy Hodgkin fellowship), and by Somerville College. The National Archives of the United Kingdom refer to her as "Dorothy Mary Crowfoot Hodgkin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Tukisusia uchaguzi tutakuwa tunaimarisha hujuma dhidi ya demokrasia. ACT Wazalendo tutaikabili CCM itakavyokuja

    Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati. Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
  2. JamiiForums Tanzania DR. DOROTHY GWAJIMA.IRON LADY!KWANGU MIMI NDIE WAZIRI MCHAPA KAZI KULIKO MAWAZIRI WOTE SERIKALINI.

    Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri. Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
  3. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu anakiri mifumo ya uchaguzi haiwezi kutoa haki lakini hawatasusia uchaguzi

    Nina swali kwake. Hivi hawaoni wakiungana na Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadilko ya kweli yawepo ndio njia bora ya kushiniiza mabadiliko? Ni akil gani ya kuamini utashinda wakati unakiri kura zinaibiwa, wagombea wanaenguliwa kwa sababu zisizo za kikatiba. Haoni kushiriki uchaguzi ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi tumsaidie kazi Mheshimiwa Dorothy Gwajima

    Ila hii nchi inamambo mengi sana aisee, kila siku tunaharibu kizazi chetu tena kwa mikono yetu. Vijana wengi wanafanya mambo ya ajabu na tunatazama tu bila kusemea wala kukemea huku tukisubiri yatokee madhara tuanze kulaumu vyombo vya usalama na mamlaka zingine. Ijumaa nilitoka kazini mapema...
  5. JamiiForums Tanzania KC Dorothy: Leo Jeshi la Magereza limenizuia kumwona Lissu

    IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Hatutaki kubaki kimya mbele ya kanuni kandamizi, lazima kuwe na rekodi kwamba tulipinga

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitafungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo kinaamini zinakiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikisema lengo ni kutafuta tafsiri sahihi ya haki za wananchi kisiasa. “Chama cha siasa ni mdau, lakini yule...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy semu: Mashtaka ya Lissu ni jaribio la kufunga mdomo wa haki

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu akieleza namna chama hicho kinavyosimama pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na mashtaka mawili (2) yenye makosa manne (4) ikiwemo kosa la uhaini lisilokuwa na dhamana.
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dorothy Semu amuonya Mtendaji wa Kijiji kutoipendelea CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amemuonya mtendaji wa Kijiji cha Angalia kutopendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) wajibu wake nikutumikia wananchi sio ubaguzi wa itikadi katika uchaguzi. Kauli hiyo ameitoa baada ya mtendaji huyo kuzuia mikutano ya chama hicho kutumia maeneo ya Umma, Semu...
  9. JamiiForums Tanzania Leo nimeshuhudia Umahiri, unyenyekevu, na uchapakazi wa Waziri Dr. Dorothy Gwajima Mubashara yaani ana kwa ana

    Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late). Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
  10. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu ashiriki katika msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dorothy Semu katika Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa ya ACT Wazalendo, Agosti 25, 2024

    Taifa la wote, Maslahi kwa wote! Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka kamili. Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasihii adhimu ya kukutana nanyi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya kwanza tangu chama chetu kipateuongozi mpya baada ya Uchaguzi Mkuu Machi mwaka2024. Kwa heshima...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima ndiye waziri anayekubalika kwasasa nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanza kabisa nipende kukiri hadharani ya kwamba,Binafsi huyu ndiye waziri ninaye mkubali Kwa Sasa nchi Tanzania. Huyu waziri anazosifa kadhaa ambazo zinamfanya aendelee kukubalika Kwa Watanzania kibwena. SIFA ZINAZOMFANYA KUPENDWA NA WATANZANIA WALIO...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni. Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
  14. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Kikokotoo Kinawaumiza Wafanyakazi

    Tunasimama na Wafanyakazi Tanzania, Kikotoo cha mafao kinawaumiza wafanyakazi. Chama cha ACT Wazalendo kinaungana na wafanyakazi wote Duniani katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Siku hii ni muhimu sana katika kuwaleta pamoja wafanyakazi katika kutafakari hali yao, maslahi na stahiki zao...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa. Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza...
  16. JamiiForums Tanzania PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D. Kiukweli kabisa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima. Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
  18. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Nape Nnauye

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima Na... Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Nape Moses Nnauye. Wasalaam, Poleni kwa kazi. Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
  19. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Nimekivusha Chama cha ACT Wazalendo kwenye mawimbi ya ukandamizaji wa Demokrasia

    HOTUBA YA NDUGU DOROTHY-MANKA JONAS SEMU WAKATI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO Ndugu watanzania Ndugu viongozi, wanachama, wapenzi na wafuasi wa ACT Wazalendo kipekee wote mlionisindikiza kutoka kila kona kujumuika nami hapa katika tukio hili la...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima ni waziri anayefanya mambo makubwa mno bila kelele,sifa za kijinga na majivuno!

    Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia wanasiasa baadhi wenye mambo ya ovyo na ambao wanadhani baadhi ya watanzani ni wapumbavu kwa kukubaliana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…