dorothy semu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Dorothy Semu: Hoja tofauti za Bwege tunazipokea

    "Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama na wengine kuja na hoja ambazo haziendani na misingi ya chama". "Sisi tunaamini katika kumjenga...
  2. R

    GE2025 Dorothy Semu: Ndani ya siku 100 ACT-Wazalendo itahakikisha inaunda Tume ya Kijaji kuchunguza nani anahusika na Matukio ya Utekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya Pasua na...
  3. W

    GE2025 Bwege: Dorothy Semu alikataa kujitoa kugombea Urais kupitia ACT ila wakamlazimisha wakasema watamrudishia gharama zake

    Kada wa ACT Wazalendo Selemani Bungala (Bwege) anaeleza kuwa Mpina alipojiunga ACT yalitokea makundi mawili kwa kuwa Dorothy ndiye aliyepaswa kuwa mgombea kuna watu wakasema Dorthy atolewa na kuna watu walisema abaki lakini mwisho wa siku wakamtoa. "Walimtoa, yeye si alikuwa anakataa...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Monalisa: Dorothy Semu alikuwa mgombea mzuri, alishaajiandaa tangu mwaka 2023

    Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema yeye alikuwa akimuunga mkono Dorthy Semu, pia ni mgombea mzuri huku akibainisha kuwa Dorthy alishaajiandaaa...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Dorothy Semu: Tumepamba Ujinga Badala ya Kuukabili, Mapambano ya Uhuru Yamesalitiwa

    “Miaka 60 badala ya kukabiliana na ujinga, tumeamua kuupamba; tumeamua kusheherekea wahitimu wa shule za msingi wasiojua kusoma na kuandika: tumeamua kuwa na wahitimu wa sekondari wasioweza kufikiri na kujitegemea; tumeamua kuwa na wasomi wa vyuo vikuu wasioweza kujieleza na kujisimamia...
  6. JanguKamaJangu

    Mwenezi CCM Zanzibar: Zitto na wenzake wanavuna usaliti walioufanya kwa Dorothy Semu kumlazimisha ajitoe kuwania Urais

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa Urais, badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa. Pia kimemtaka Kiongozi Mstaafu wa chama hicho Zitto Kabwe kuacha kutoa shutuma zisizo na sababu wakati Luhaga Mpina...
  7. Waufukweni

    GE2025 Dorothy Semu: Tume ya Uchaguzi Zanzibar, msijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea...
  8. L

    GE2025 Dorothy Semu ajiondoa kugombea Urais ACT Wazalendo. Je, anampisha Luhaga Mpina?

    Ndugu zangu Watanzania, Dorothy Semu aliyekuwa ametangaza kugombea Urais Kupitia Chama chake cha ACT WAZALENDO. Je anajiondoa ili kumpisha Luhaga Mpina? Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  9. M

    GE2025 Dorothy Semu: Makamishna Tume Huru ya Uchaguzi wajiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana wapya

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu amewataka Makamishna wa Tume huru ya Uchaguzi kujiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana makamishna wapya kwa mujibu wa sheria. Hapa tulipo, makamishna waliopo ni aliyewahi kuwa msemaji wa CCM, ndugu Omary Ramadhan Mapuri. Pia soma KWELI...
  10. DuaZaMama

    GE2025 Dorothy Semu: CCM hawajafanya jitihada ili uchaguzi uwe wa huru

    "Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati." Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani...
  11. R

    Maajabu ya ACT: Zitto Kiongozi wa chama mstaafu ana sauti ie anasikika kuliko Kiongozi wa chama Dorothy Semu na Mwenyekiti wa chama Othman Masoud

    Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
  12. DuaZaMama

    GE2025 Dorothy Semu: Vyombo vya Usalama visitumike tena kutumbukiza kura 'fake' kwenye masanduku kama Chaguzi zilizopita

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, ametoa kauli kali akilaani kile alichokiita matumizi mabaya ya vyombo vya usalama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika chaguzi zilizopita. Akihutubia mkutano wa hadhara Julai 5, 2025 katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, Semu alisema...
  13. Waufukweni

    GE2025 Dorothy Semu: Tusikubali CCM ipite bila kupingwa, tukalinde kura

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amesema kuwa chama chake kinaingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo kuu la kulinda thamani ya kura ya Mtanzania, kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakipitwi bila kupingwa na kutumia uchaguzi kama jukwaa la kusikiliza na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dorothy Semu: Wananchi wasimame kidete kulinda kura

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama chake kimeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ili kutetea na kulinda demokrasia nchini, akisisitiza kuwa ni haki ya kila mwananchi kuchagua viongozi wanaoweza kuleta maendeleo. Amebainisha haya Busega, mkoani Simiyu, Semu na kwamba haki...
  15. DuaZaMama

    PreGE2025 Janeth Ritte:Tupo tayari kumpigania na kumuunga mkono Dorothy Semu

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo, Janeth Ritte, ametangaza kwa msisitizo kuwa wanawake wa chama hicho wako tayari kumpigania na kumuunga mkono Dorothy Semu, Kiongozi wa Chama, kupeperusha bendera ya ACT katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  16. ACT Wazalendo

    PreGE2025 Dorothy Semu: Fedha za uchaguzi Mkuu zisitumike kuminya demokrasia

    ACT WAZALENDO YAPINGA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UCHAGUZI MKUU Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuwajulisha wananchi wote wa Tanzania kuwa katika muktadha wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26, tumechambua kwa kina matumizi yaliyotengwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
  17. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Dorothy Semu: Tukisusia uchaguzi tutakuwa tunaimarisha hujuma dhidi ya demokrasia. ACT Wazalendo tutaikabili CCM itakavyokuja

    Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati. Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
  18. crome20

    Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu anakiri mifumo ya uchaguzi haiwezi kutoa haki lakini hawatasusia uchaguzi

    Nina swali kwake. Hivi hawaoni wakiungana na Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadilko ya kweli yawepo ndio njia bora ya kushiniiza mabadiliko? Ni akil gani ya kuamini utashinda wakati unakiri kura zinaibiwa, wagombea wanaenguliwa kwa sababu zisizo za kikatiba. Haoni kushiriki uchaguzi ni...
  19. W

    PreGE2025 Tazama kiongozi wa ACT alivyozuiliwa kuingia mahakama ya Kisutu kwenye kesi ya Lissu

    Leo ni siku ambayo imekuwa busy sana wakuu, huku watu wanatekwa huku wengine wanazuilwa mahakami yani imekuwa tafrani. CCM kama inajiamini kwa nini inafanya haya yote? Kwanini wasitulie === Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu amezuiliwa kuingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...
  20. Mindyou

    PreGE2025 Dorothy Semu achukua fomu ys kugombea Urais ndani ya ACT Wazalendo

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akidokeza kuwa yupo tayari kuchuana na Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan ikiwa...
Back
Top Bottom