dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama kigogo wa juu wa chombo cha dola, bank statement yake inaanikwa hadharani huku ikionyesha miamala inayofanya watu wahoji; je, nini kinaendelea?

    Kuna kigogo mmoja ambae ni top boss wa chombo cha dola, bank statement yake imevujishwa na kusambazwa mitandaoni huku ikionyesha miamala mikubwa ambayo inaacha maswali ukizingatia yeye ni mtumishi/mwajiriwa wa serikali. Mimi namshauri atoke hadharani na ajibu madai hayo na kama ana biashara...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mna dola, vyombo vyote vya usalama ni vyenu, mnaogopa nini kufanya reforms?

    Dah! maskini Tanzania nchi yetu, sijui tunatokaje hapa tulipo kwenda mbele kama taifa. CCM dola ni yenu, mmeshika mpini kila sehemu kwa nini mnaogopa kufanya reforms? Kweli kudai reforms ndiyo imekuwa hatari kiasi hiki kwenu, yaani reforms tu. Mimi bado siamini kama mnaogopa, labda kama...
  4. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Chadema hivi sasa Lowasa alishawahi kukizungumzia

    "Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
  5. JamiiForums Tanzania CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

    Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana. Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele? Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu? Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Qur’an haijawahi kufanyiwa mabadiliko? — uchambuzi wa kisayansi na kihistoria

    Moja ya madai maarufu miongoni mwa Waislamu duniani ni kwamba Qur’an haijawahi kubadilishwa hata herufi moja tangu ilipoteremshwa kwa Nabii Muhammad. Lakini je, historia na sayansi ya maandiko inathibitisha hili? Leo nitachambua ushahidi wa kihistoria, nukuu kutoka kwa wasomi wa Kiislamu, na...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya ccm yakiri bila kutumia dola kubaki madarakani

    Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua. Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo. Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la...
  9. JamiiForums Tanzania Mradi wa Dola Milioni 5.8 kuhifadhi Misitu ya Asilia wazinduliwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), amezindua mradi wa 'Kuimarisha Ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu ya Mazingira Asilia Tanzania dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi', wenye thamani ya Dola za Kimarekani 5.8 milioni. Mradi huo umefadhiliwa na Mfuko wa Mazingira...
  10. JamiiForums Tanzania Kati Ya Vyombo Vya Dola na Viongozi Wa Dini Nani Hapaswi Kujihusisha Na Siasa?

    Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida. Taasisi za serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Bashungwa, Makonda Vijana wa Dola wanaoandaliwa Urais , wakataliwe na KANISA ,yoyote anayehubiri Uminywaji wa HAKI Kwa mgongo wa Aman, akataliwe !!

    Katika Jambo ambalo Dola inataka kuwachezea watanzania, ni kuwaandaa Hawa wahuni wawili kama possible successors wa Urais endapo Huu upuuzi wa Uchafuzi Mkuu 2025 wataendelea kuulazimisha Kwa Bunduki ,utekaji na mauaji uendelee kama ulivyopangwa !!. Dola ambayo ndio inayowaongoza CCM Kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege. Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kupoka ugombea Uraisi Kwa njia isiyo ya Ki-Demokrasia na Sasa kutumia Vyombo vya Dola kuzuia wapinzani wa Kweli ni Dalili za Ushindi au Kushindwa.

    Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za upinzani zimefikia kilele kwa CHADEMA, hakuna mbadala wake

    Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho kikapotea katika ramani ikafuatia CHADEMA ambayo imekuwa chama kikuu cha upinzani kwa karibia miaka 15...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Gambo kuanza kuishambulia ofisi ya Rais TAMISEMI, rasmi natangaza mazishi ya ubunge wake wa jimbo la Arusha

    Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya. Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
  16. JamiiForums Tanzania CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna Kizazi kilikua/Kiko Ndani ya Dola , ni Lazima kitoke au Kila Mwananchi asimame Kupigania Haki huku Taasisi za kidini/Kisiasa zikiwa mbele

    Huu ndio Ukweli!!. Nchi hii Toka kuasisiwa kwake, Kwa jicho la karibu utagundua muda wote ipo kwenye Mikono ya Viongozi waandamizi wa Dola ambao Kwa Matendo yao na Imani zao wanajua kabisa kua ikitokea UPINZANI wakashika NCHI , basi Watataabika kwelikweli , na Kwa Muktadha huo, Watu hawa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: CCM inashinda kwa mbeleko ya dola! Atoa msimamo wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Oktoba 2025

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu amesema CCM inashinda kwa mbeleko ya dola, akitoa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Uchaguzi https://www.youtube.com/live/F0cmJ6K7t5E Kuhusu G-55 na Wabunge 19 "Tutawapokea, umezungumza kuhusu Kundi la G-55, mtu yeyote anayetaka kujiunga na ACT Wazalendo...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Kazi yetu kuanzia sasa mpaka Oktoba ni kukamata dola kwa nguvu ya wananchi na sio jeshi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya wananchi. Amesisitiza kuwa CCM haitegemei Jeshi la Polisi ili kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Uchambuzi wetu unaonesha katika nchi mbalimbali duniani, kususia uchaguzi kumeimarisha hujuma zaidi za dola dhidi ya demokrasia

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa Chama hicho kitashiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwenye nafasi zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Zanzibar. Akizungumza na wanahabari leo Aprili 16...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…