dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kupewa fedha na silaha zinazofikia thamani ya dola bilioni 60, bado Ukraine inalialia kuwa imezidiwa kwa mbali na urusi! Hii imekaaje?

    Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Trump: Biden kapeleka dola bilioni 60 za walipa kodi wa USA nchini Ukraine, kununua silaha ambazo zaishia kuharibiwa vibaya na Urusi

    Rais mstaafu wa Marekani Donald Trump kamkemea na kumkosoa vikali rais Biden kwa kutumia vibaya pesa za walipa kodi wa Marekani dola bilioni 60 kununulia silaha na kuzipeleka Ukraine, ambapo silaha za mahela yote hayo zinaishia kuharibiwa vibaya na kuangamizwa na majeshi ya Urusi. Wakati huo huo...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kumaliza teuzi katika vyombo vya dola, Sasa macho yote Mahakamani. Nani kuwa Jaji Mkuu?

    Naona Mh. Rais SSH kamaliza kupanga safi ya viongozi wa vyombo vya dola. Macho yetu yote ni kwa Mahakama. Je, nani atakalia kiti Cha Jaji Mkuu?
  4. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waipa Ukraine msaada wa kijeshi wa Dola Milioni 508

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17). Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika Brussels kujadili awamu nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi...
  5. JamiiForums Tanzania Dola ya marekani inaanguka katika mikono ya Biden kama ccm ilivyotaka kuanguka 2015 katika mikono ya Kikwete

    Salama wandugu, Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa, Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola kuwa na nguvu duniani yaani hata Kama wewe unataka kuuza viazi mbatata katika soko la dunia utauza...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Japan, Vyombo vya dola vifanye mapitio ya kiusalama mikutano ya barabarani

    Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai. Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani. Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Afrika hakika inakaribisha ahadi ya G7 ya kuchangisha dola bilioni 600 katika miundombinu – iwapo itatimizwa

    Kundi la nchi saba tajiri zaidi duniani G7 hivi karibuni lilitangaza mpango wa kuchangisha dola za kimarekani bilioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu katika nchi zinazoendelea, ikiwa ni jaribio la kushindana na pendekezo la China la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mpango mkubwa wa miundombinu...
  8. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola, mdhibitini Barbara la sivyo ataleta sintofahamu kubwa huko mbeleni

    Huwezi kuongelea siasa ya nchi yetu Tanzania pasi na kuwepo vilabu vya Yanga na Simba na huo ndiyo ukweli. Sasa ndani ya Taasisi ya Simba kuna huyo binti Babra ambaye ndiye CEO wa klabu ile hakika ndani ya muda mchache ameshagombana na kila aliyehisi ni kirusi kwenye nafasi yake! Utulivu...
  9. JamiiForums Tanzania Dola ya Marekani kutumika rasmi nchini Zimbabwe baada ya mfumuko wa bei kuwa mkubwa

    Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi. Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
  10. JamiiForums Tanzania Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

    Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children displaced by Ukraine war The Nobel Peace Prize that Russian journalist Dmitry Muratov was...
  11. JamiiForums Tanzania Diwani Raibu Juma kutoa dola 5,000 kama utapata video yake akitetea Mapenzi ya Jinsia Moja

    Diwani wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Raibu Juma akiongea na Redio Moshi Fm kupitia kipindi cha Darasa mseto ameweka wazi kutoa Dollar 5000 ikiwa atapata video inayoeleza kutetea wapenzi wa jinsia moja (Ushoga) katika sherehe aliyohudhuria. "Ishu ya kuhudhuria sherehe ya wapenzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Mkopo wa Dola Mil 278 kutoka Benki ya Dunia

    Tanzania imepata Mkopo kwaajili ya miundombinu na huduma bora kupitia mkopo Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA*) wa dola za Kimarekani milioni 278 ulioidhinishwa tarehe 13 Jun 2022 na Benki ya Dunia. ==== Tanzania: Seven Million Urban Residents to Access Improved Infrastructure and...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi imeingiza Dola Bilioni 97 kwa kuuza nishati tangu vita ilipoanza

    Imeelezwa kuwa Urusi imeingiza takribani Dola Bilioni 97 kwa kuuza mafuta na gesi ndani ya siku 100 tangu kuanza kwa vita baina ya taifa hilo dhidi ya Ukraine. Utafiti huo umefanywa na Kituo huru cha Utafiti wa Nishati na Hewa Safi (CREA) ambacho kimeeleza kuwa Umoja wa Ulaya, Marekani na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    11 Juni 2022 Dar es Salaam, Tanzania Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi asilia yaani LNG (Liquified natural gas) ambao umeshuhudia na Rais...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

    Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67. Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa sawa na ruble 82, na mwanzoni mwa vita baada ya Urusi kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi, fedha yake...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

    Wanaukumbi. Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa. Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi. CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini. Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania AfDB yapanga kukusanya dola bilioni 25 za kimarekani kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. Akinwumi Adesina amesema kwenye mkutano wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika tarehe 24 mwezi huu huko Accra, Ghana kuwa benki hiyo itakusanya dola bilioni 25 za kimarekani kabla ya mwaka wa 2025 kwa ajili ya kuunga mkono nchi za Afrika kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ufaransa kuwekeza dola bilioni 4.2 Tanzania

    Haijawahi kutokea- Ufaransa mbioni kuwa muwekezaji nambari wani Tanzania. Ufaransa itawekeza zaidi ya dola bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka mitano. Asiyemuelewa mama kindly spare us the noise. === Dar es Salaam. The French public and private commitment for Tanzania over the next five years...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje analipwa zaidi ya dola 350 Kwa siku sawa na zaidi ya Tsh 400,000

    Nilikuwa wa kwanza kushtuka kusikia fedha walizolipwa wafanyakazi wa MSD, lakini Baada ya kufanya utafiti nimebaini Kila mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje ulipwa zaidi ya dola 350. Kabla ya kulalamikia MSD ni vyema tukafahamu sheria inayotumika kufanya malipo. Kwa viongozi wakuu wa Nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Profesa Godius Kahyarara: Awamu ya 6 imeingiza dola bilioni 21

    Prof G Kahyarara akiojiwa na East Africa Redio amesema, katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya awamu ya sita, economic diplomacy imeweza kuingiza Katika mfumo wetu wa uchumi dola bilioni 21 ambazo huwezi kuzipata popote katika mfumo mwingine! My take: Kwa hiyo Tanzania ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…